Wabunge hawa wameshambuliwa na nani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Vyombo vyetu vingi vya habari Tanzania havina maana ya kutenda haki.Vimekaa kimya mno juu ya shambulio la kudhuru mwili lililofanywa kwa Wabunge wawili wa CHADEMA: Highness Kiwia(LEMELA) na Machemli(UKEREWE).'Havitaji' washukiwa.Wangeshambuliwa wa CCM,ingekuwa rahisi kwa vyombo hivyo kuandika au kutangaza: 'Wabunge wameshambuliwa na vijana wanaoshukiwa kuwa ni wafuasi wa CHADEMA'.Hii si haki.

Kama CCM hushambuliwa na CHADEMA,CHADEMA hawa wameshambuliwa na nani? Mbona mko kimya sana? Acheni unafiki...
 
Back
Top Bottom