NI Kweli CCM hawakujaribu kuchakachua kura Arumeru?

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Pamoja na ushindi wa CDM huko ARUMERU, je ni kweli CCM hawakufanya uchakachuaji wowote!!!.
 
subuthu...! CCM hii tunayoijua au? Hawa wameshindwa kwa vile mahesabu yao hayakutimia na si kuwa hawakuweza kupenyeza kura za wizi!
 
Ukitaka kuishinda CCM ni lazima uishinde kwa kura nyingi sana kiasi kwamba hata wakichakachua kwa kutumia hotpots na chupa za chai kama kawaida yao, bado wasiweze kufikia. Ibaki kuwa aibu yao!!
 
Ccm hawawezi kufanya uchaguzi wowote bila kuchakachua. Huwa wanachakachua kwenye chaguzi zao za ndani, watashindwaje kuchakachua chaguzi za kushindana na vyama vingine?
 
Nawashukuru sana vijana hasa wa TOYO walilinda kura sana kwani walikuwa wanakimbiza magari ya ccm kila kona ok japo hawakupiga kura waliowengi but walilinda kura sanaaa tu. Pia mbunge Lema wa Mjini BRAVO kaka kwa jitihada zake aliwabana kila kona.
 
namkubali lema mpaka raha!
Alilinda Kula kwenye majumuisho kama ndoo mtoa matokeo! Hata wakat WA kusoma alikuwa Benet na mtoa matokeo kaa ndoo msomaji!
Big up man
 
Zile KURA walizopata naimani zimechakachuliwa. Yule Sioi hakuwa wakupata kura kiasi kile! Chadema wameibiwa kura zaidi ya 10,000 Ushindi umewafanya wakae kimya!
 
namkubali lema mpaka raha!
Alilinda Kula kwenye majumuisho kama ndoo mtoa matokeo! Hata wakat WA kusoma alikuwa Benet na mtoa matokeo kaa ndoo msomaji!
Big up man

Lema alicheza kama Messi. Kifupi alikuwa kama kupe, Kagenzi anamjua vyema!
 
Msimamizi pia alifanya kazi yake kwa mujibu wa taratibu na si kwa mujibu wa ccm,kuhusu kujaribu kuchakachua,muulizeni Nchemba na Bashe watasema kitu
 
Mpaka saa hii watu bado wako polisi waloshikwa na kura feki unafanya mchezo.
Kama sio TOYO na The Helkopta tusingepona. Tengeru Nassari alimdaka mtu mwenyewe kwa mikono yake.
Thermos na Hotpots ziliwasaidia sana CCM lakini bado walikaa
 
Back
Top Bottom