Swali: Ni nani (anayehusika) alimkaribisha Lusinde kwenye meza kuu ya CCM?

WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
87
Tukiondoa itikadi zetu za kivyama, hili la huyu jamaa bado sijapata jibu.
Ameibaka sifa yetu ya wa Tanzania wapenda amani wenye maadili ya rika. Najaribu kuingia vichwani mwa
viongozi wa M.agamba nione kinachowatuma kumkaribisha huyu kijana kwenye platform kubwa
kabisa kwao, lakini nashindwa kupata jibu.

Nawasilisha.
 
waliomkaribisha ni Fupi nyundo(bwm),mpenda ndizi mbivu(sokwe) na mgoma malima wake za makada wenzie.hio mibichwa!balaa
 
Ile safu ya kampeni CCM ilikuwa the komed sana,natamani utokee uchaguzi mwingine tena wawatume hao jamaa.
 
Fact hapa ni kwamba huyu bwana hana malezi ya pande mbili...kuna swali jepesi najiuliza hapa...ikiwa huyu mvulana asiye na adabu ndiye mteule wa chama na hatimaye mwakilishi wa wana Ludewa basi tutegemee product za kustaajabisha Ludewa...ndiyo! Lusinde anastahili kuomba watanzania radhi kuanzia mtoto hadi mzee! Hafai kua mwakilishi wa watu,apewe kazi nyingine kwenye chama! (kwa kua wanamlea)
 
eeh,LUSINDE+LUDEWA?=KUCHEMKA.
Lusinde kateuliwa na wagogo wa MTERA
 
Ile safu ya kampeni CCM ilikuwa the komed sana,natamani utokee uchaguzi mwingine tena wawatume hao jamaa.
jimbo la segerea

......hawa jamaa wote wameshaharibikiwa na sio ajabu hiyo timu iliyotumwa ilikuwa 'the best' ndani ya chama chote, anayeping hili na abishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom