By Nova Kambota
Tanzanians can still flash back what took place in 2008 when Edward Lowassa declared his resignation in Dodoma telling the public that after serious mediation and deep...
Na Nova Kambota,
Watanzania wangali wanaendelea kushangazwa na vituko vya viongozi wao hususani wale wa chama tawala. Kwa jinsi hali ya uropokaji inavyozidi kukithiri miongoni mwa makada wa...
Wana Jukwaa!
Nimepata hbr kuwa kulikuwa na chaguzi za vijiji pia sambamba na uchaguzi wa A.MERU. Muheza pia haikubaki nyuma, viti vingi vimechukuliwa na CDM ikifuatia KAF kwa upinzani! Hi inatia...
Jamani uchaguzi wa Arumeru umekuwa pigo kubwa kwa CCM na neema kwa chadema. Kuna watu wengi nilikuwa nawajua ni wana CCM wabishi kweli ila wamebadilika bwana. Wanasema upepo huu wa mabadiliko...
​Moja kati ya kero ambazo zimeutia dosari kubwa Muungano wa Jamuhuri ya Tanzania ni juu ya Mamlaka ya Mapato TRA.
Leo hii tumeshuhudia kamata kamata ya daladala na gari zote za biashara kwa...
Kuna baadhi ya wabunge hawajahudhuria vikao vya Bunge kwa muda mrefu sana, wengine tangu waapishwe kuwa wabunge, kutokana na maradhi ya muda mrefu. Kwa heshima kubwa na kwa kujali afya zao, na pia...
WanaJF katika kufunga kampeni za jimbo la Arumeru Dr. W. P. Slaa alizungumzia kashfa kubwa sana juu ya rais mstaafu Benjamin W. Mkapa alisema wapinzani ni vifaranga!!!! Kauli hiyo ilikuwa ni...
Na Nova Kambota,
Kwa takribani miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Jamuhuri yaw Muungano wa Tanzania imekuwa ni nadra au mara chache sana kwa mtanganyika kuwashauri...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kutoka kwa viongozi hasa wenye kuogopa wimbi la weledi wa vijana katika siasa mpya zinazotegemea facts na akili za kichambuzi zaidi kuliko propaganda mfu...
baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kidogo babu yenu nimerudi jamvini kwa mara nyingine tena.
Nilienda arumeru kutetea chama kikongwe cha mapinduzi.
Awali ya yote nachukua fursa hii kuwapongeza...
Kada huyo maarufu na kiongozi(siyo jina halisi) wa CHADEMA jijini Mwanza amekuwa akishindwa kudhibiti hisia zake na kuangua kilio kila anapofuatwa na watu wanaomufahamu wakitaka maoni yake juu ya...
Kupitia STAR TV leo nimemwona rpc povu likimtoka, kufuatia maswali yaliyoulizwa na mwandishi wa habari sikujua ni wa chombo gani cha habari yakihoji kukinzana kwa taarifa alizozitoa mwanzo kwa...
Wanajf habari, poleni na shughuli za harakati za maisha. Mimi nauliza ni kwa nini serikali ya JK inaendelea kuwalipa pesa wawazili wa AFYA na naibu wake? Watu hawa wanafanya kazi gani, maana...
Jamani naona kweli kwa upande wangu ni kichekesho kikubwa sana, inakuwaje mtu uombe upigiwe kura wakati wewe mwenyewe hujajiandikisha!
Naomba ma great thinkers mjaribu kuangalia hili.
Ni kwamba...
Pongezi za dhati zimwendee Kampeni manager wa chadema Arumeru mashariki ndugu Vincent Kiboko Nyerere kwa kazi nzuri! Mbinu zako hatimaye zimezaa matunda! Viva Chadema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.