CCM vipi sipati gazeti la Jambo Leo au limefia Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM vipi sipati gazeti la Jambo Leo au limefia Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 4, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wadau aliyesoma gazeti la jambo leo toka Juzi anambie walau kwa ufupi vichwa vya habari vimeandikwaje tafadhari.
  Au kama lina matenity leave tuhabarishane
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Limeandika CCM yajitutumua Meru mkapa awapasha wapinzani Lusinde ang'ara,Mchemba anajua kubana matumizi
   
Loading...