Kikwete ampongeza raisi mteule wa Senegal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ampongeza raisi mteule wa Senegal

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tembeleh2, Apr 4, 2012.

 1. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa Kikwete ametuma salamu za pongezi raisi mteule (toka upinzani) wa Senegal ndugu, MECKY SALL. nanukuu " NIMEPOKEA KWA FURAHA KUBWA HABARI ZA USHINDI WAKO NA KUAPISHWA KUWA RAISI MPYA WA JAMHURI YA SENEGAL BAADA YA KUPATA USHINDI KUBWA KUFUATIA DURU YA PILI YA UCHAGUZI MKUU ULIOFANYIKA TAREHE 25/3/2012" mwisho wa kunukuu.

  Napendekeza angetumia nafasi hii kama mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kumpongeza mbunge mteule wa jimbo la Arumeru mashariki Mh. JOSHUA NASSARI (toka upinzani) na hata madiwani wote wateule toka kata mbali mbali nchini.

  Je wewe mwana JF unasemaje?
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamaa hakusafiri???
   
Loading...