Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joss, Apr 3, 2012.

 1. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mh Lema ni mwanamapinduzi kweli,...ninafurahishwa sana na maneno ya matumaini anayowapa vijana na wapambanajikwa ujumla.

  Hiii ni nukuu kutoka katika gazeti la Nipashe:

  "Nassari alisema mwaka 2010 alipoamua kugombea ubunge akiwa kijana mdogo, alikwenda kwa Godbless Lema kuomba ushauri wa kugombea nafasi hiyo.

  Alisema Lema alimshauri akapambane katika chama na akipitishwa kura za maoni, amfuate atampatia Sh. milioni kumi na alipomfuata baada ya kupitishwa Lema alichukua karatasi alimwandikia tumaini, jipe moyo na utashinda, akampa akamwambia hiyo ndiyo milioni kumi".
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Lema ni mwanafalsafaa wa juu sana!...hapo inahitaji zaidi ya common sense kuelewa alichokuwa anamaanisha!
   
 3. k

  kkaseza Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana na ameshinda nimefurahishwa sana na wananchi wa jimbo la Nassari.
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Du!hii imetulia sana
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahaha milion 10 si kitu, ila kujaliwa kwa hali na mapambano ndo sahih
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hekima ya kiasi gani, hadi wivu.
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,136
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Welldone - Lema!
   
 9. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Vipi maumivu ya kushindwa bado hayajaisha, wenzako kina Nape wamekubali na kupongeza japo kwa kusema hongera Nassari wanamaanisha tumefurahi CCM-Lowasa kuanguka.
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Great!Great!Great!Great!Great!Great!GREAAAT!
  Safi sana kamanda Lema!
  Fedha si kila kitu kwenye maisha,ukilinganisha na nguvu ya umma na inner peace and faith!
  I admire you kamanda Lema!
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  [​IMG] chatu dume

  31st March 2012 12:37
  #1 [​IMG]
  [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 27th February 2011
  Posts : 5,423
  Rep Power : 1317
  Likes Received468
  Likes Given2  [h=2][​IMG] Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni[/h]
  Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo. ​
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nassari kampeni za mwaka 2010 alikuwa na 800,000 huku akipambana na waziri hata zile kura alizo zipata kipindi kile ni kumshukru mungu.......
   
 13. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Uchwara umejificha kichwani mwako, mwisho wa akili yako ni chakula tu? nyie ndio machumia tumbo
   
 14. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kweli mkuu umechanganyikiwa kabisa, sasa unapost mambo ya kushinda Arumeru ni doto, wenzako washato a hadi pongezi kwa Nassari, hebu kama kuna mtu karibu akuchape kofi uzinduke... ebo!!..
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huwezi kumtumikia Mungu na mali , lazima uchague moja. CCM wamechagua mali (PESA) na CHADEMA wamechagua kumtumikia Mungu.
   
 16. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280

  [​IMG]
   
 18. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli Lema ni mzarendo na kamanda wa ukweli. Kwa alivyokaba uchaguzi wa arumeru kweli Lema.

  Unaambiwa jamaa alikuwa wakala siku hiyo usa river, hakufunga macho siku nzima. Wakati wanapiga mabomu ya machozi yeye alimwambia polisi nipige shaba mimi acha kuwaonea wananchi.
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280


  huyu jamaa ameshajinyonga?
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...