Kuvaa gwanda la cdm udom university ni kosa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuvaa gwanda la cdm udom university ni kosa ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bebrn, Apr 3, 2012.

 1. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa mwanafunzi mmoja wa udom ni kwamba kunawanafunzi wameandikiwa barua za kusimamishwa chuo kutokana na kukutwa wamevaa gwanda za ukombozi(CDM) wakati wakielekea dodoma mjini siku ile ya mwisho wa kampeni!!! Naombeni taarifa zaidi kwa mwenye taarifa kamili
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nahisi ni umbea
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,352
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
Loading...