Cdm wakielekea liganga jana

A2 P

Senior Member
Mar 22, 2012
184
43
CDM wakiandamana kwenda Viwanja vya Liganga. Je picha zina ashiria kuwa CCM kwaheri? CCM TULIKUPENDA KWAHERI.jpg CCM TULIKUPENDA KWAHERI.jpg 2.jpg CCM TULIKUPENDA KWAHERI.jpg 3.jpg
 
asante watanzania. woga kwa ccm na watawala umeisha. ni mwendo wa full freedom of expression! miaka fulani hii ingeonekana ni uhaini na watu kutiwa kashkash! again, kwa heri ccm!
 
Nimeona hizi picha mahali wakielezea kuwa ni cuf huko Tanga baada ya kupata kiti cha udiwani, wewe unasema ni cdm upi ni ukweli sasa kuhusu picha hizi?? Nikiziangalia kwa makini nakubali kuwa ni cuf though
 
HASSAN MASOKA kuwa makini kwenye picha ya pili wameandika tanga, unatakiwa kusoma kwenye kila picha kabla ya kutoa maoni yako, tuko pamoja kaka
 
HASSAN MASOKA kuwa makini kwenye picha ya pili wameandika tanga, unatakiwa kusoma kwenye kila picha kabla ya kutoa maoni yako, tuko pamoja kaka
Ni kweli mkuu ndio maana nimeuliza maana kicha cha thread hii kinasema CDM wakielekea Liganga! hapo ndo naona kama mtoa mada anachanganya habari!
 
Back
Top Bottom