Olemedeye Gooluck TIA NYWELE ZAKO MAJI

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Kwa wanaofahamu Arusha hata kijuujuu pale Sanawari mataa kona ya kushuka AICC, kupanda sanawari ya juu ni vumbi kwanzia mataa kupanda huko mpaka mwisho wa Barabara. Huyu jamaa haogopi hata kuzunguka hovyo kupiga 'vuvuzela' eti naibu waziri uchwara . TIA NYWELEZAKO MAJI!
 
Dah! Makamanda mnanipa raha sana kwa jinsi navyoona mwamko wenu ktk harakati za kuondoa CCM' basi pamoja kwa nyie wa hizo pande za arusha muhakikishe mnawatoa magamba wote iwe kwa uchaguzi mdogo ama mkubwa 2015,
chadema 4 life
solidarity forever.
 
HAKUNA JIWE LITAKALO BAKI JUU YA JIWE TWO THOUSAND AND FIFITEEN kwa msisitizo 2015 All over ARUSHA .....MTALIKUMBUKA HILI SIYO MBALI YETU MACHO.
 
Kuna baadhi ya majimbo yako wazi kuanzia sasa na hili jimbo la Arumeru Magharibi ni mojawapo. Kama Ole Medeye anataka kurdudi Dodoma 2015 ana vitu vitatu anatakiwa afanye, ahakikishe watu wa Meru wanapata ardhi yao, maji na barabara. Tofauti na hivyo asijisumbue.
 
Yaani alitolewa aliyekuwa Mbunge,akapewa huyu Ole Medeye,ila naye ni bomu linalosubiri muda wa kuexpire tu!!Tangu nimekuwa na akili,barabara ya Ilboru,Sanawari,na mianzini ni kama zimetelekezwa!!!kipindi cha mvua ndio tabu tu!!!
Na bado wanapata kura za ndiyo!!
 
Kampeni ya chukua arumeru magharibi naomba ianze sasa.
Mikakati ipangwe na utekelezaji uanze mara moja.
Mh. Lema na Mh. Nasari, mnapaswa kuliangalia hili.
M4C...
 
Back
Top Bottom