Matokeo ya chaguzi za udiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya chaguzi za udiwani

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kayoka, Apr 2, 2012.

 1. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ndugu wa Jf napenda kuweka thread hii kama kichwa cha habari kinavojieleza.
  Tunajua kwamba macho ya kila mtu yalielekeza huko Arumeru na kusahau kuwa kuna chaguzi za udiwani zinafanyika mahali kwingineko lakini mpaka sasa hatujapata matokeo yake.
  Wale wenye taarifa zake naomba ushirikiano wa kutujuza hayo matokeo.
   
 2. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Kata ya kirumba chadema imeishinda ccm kwa kura zaidi ya mia sita,bila kuweka makumi na mamia chadema 2700 na ccm 2100
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
  1. Kirumba (mwanza) - chadema.
  2. Lizaboni (songea) - chadema.
  3. Kiwira (mbeya) - chadema.
  4. Vijibweni (Dar) - CCM

  5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.

  6. Msambweni (tanga) - CUF.
  .
  .
  TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aiseee dodoma nako sijue wagogo wale wameishwa nini na ccm?
   
 5. I

  Iriora Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo yanayotokea Dodoma ni ukosefu wa Elimu
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Makamanda inatakiwa wahamie dodoma kutowa elimu
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Mtaji wa ccm kwa sasa ni mafisadi na watu wasiojua kusoma
   
 8. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  watu wa dodoma hata mi nashangaa sana
   
 9. bulinge

  bulinge Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bariadi ccm wameshinda bado kata moja!
   
 10. M

  MEMORYCARD New Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wagogo wanahofia makao makuu ya nchi yataamishwa ndo maana wanaendela kwatukuza
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kule kuna tatizo la watu kuwa na uelewa mdogo na saizi wananyang'anywa ardhi kishenzi eeeti maendeleo, nao wametulia tuu kama mijinga vile.
   
 12. S

  Sambega Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Dar napo hasa uswazi tmk vilaza bado wengi kama dom tu. Huu si wakati wa ku vote ccm
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Wana Dar es Salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu Tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado CCM inaweza kushinda UDIWANI DSM!! Tulikosea sana makao makuu ya Tanzania kuwa DSM. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi MWANZA CITY, MBEYA CITY au ARUSHA CITY CCM haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado DSM ambayo tulitegemea iwe CHACHU ya mabadiliko Tanzania bado mnaibeba CCM. Wakaazi vijibweni kulikoni?!
   
 14. n

  nonga Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vjibweni ndo maana yake nini vile? Wazaramo bwana!
   
 15. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kibwelaaaaaaa Mmmmmh!!!!!!
   
 16. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hatushangai, ndio maana kunaitwa vijibweni inatoa taswira ya aina ya wakazi wenyewe
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana JF vijibweni ni aibu tupu nilienda fanya survey walichokuwa wanajibu hawatoi kura zao mkono mtupu,hakika kuna watu waajabu sana huko.
  hizo pesa tsh.25,000 ndo gharama ya maendeleo yenu mnayohitaji hawakuwa na jibu Zaidi ya kuendekeza chukua chako mapema.
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dar bwana wanatuangusha sana ah vijibweni
   
 19. T

  Tejai Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inavyoonekana Chadema wamepata viti vitatu vya udiwani pamoja na ubunge arumeru na ccm wamepata vitatu na cuf kimoja,Big up cdm!
   
 20. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi KIGAMBONI? Nataka kujua kama CDM wameshinda au VIPI?
   
Loading...