Mtandao wa wapinzani

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Wana Jamvi, nimesikia mara kwa mara CCM wakisema ''Wapinzani wameandika kwenye mitandao yao'' hii mitandao ya wapinzani sijapata fursa ya kuisoma. napenda sana kujua Sera za wapinzani. naombeni mwenye link ya moja ya hiyo mitandao ya wapinzani anisaidie please!!
 
Umetega mitego ya nguruwe!
 
Back
Top Bottom