Chadema hatupangi kumtambulisha Nassari kuwashukuru wapendwa Dar kama neno la shukrani?

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,959
872
Ingekuwa vyema baada ya Mbunge mteule kuwashukuru wana Arumeru kule Arusha akatumia muda kidogo kuwashukuru wapenzi wa CDM walioko Dar kama ishara ya kuwawakilisha wengine tuliopo mbali mikoa mingine? Uongozi unaweza kupanga kufanya hivo kabla ya Bunge kuanza wiki ijayo.
Shukrani wana JF kwa ushirikiano wenu wakati wote wa kampeni kwa mdogo wetu Nassari.
 
Back
Top Bottom