Nauza kura yangu ya Urais 2015 kwa bei ya 0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kura yangu ya Urais 2015 kwa bei ya 0

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Midavudavu, Apr 4, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeamua kutangangaza mapema kuuza kura yangu ya Urais mwka 2015. Nitauza kura yangu kwa shilingi 0 kwa mgombea atakayekuwa tayari kurudisha azimo la Arusha. Ambaye atakuwa tayari tuwasiliane.
   
 2. m

  mama-lokatare Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh kazi ipo.
   
 3. n

  nketi JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja aje kukudanganya zitto umpe kura yako.
   
Loading...