Vicent Nyerere nenda kampeni tena ARUSHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicent Nyerere nenda kampeni tena ARUSHA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MARCKO, Apr 5, 2012.

 1. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi siogopi Lema kudhulumiwa na Lowasa. Maakama ya mwiiisho kabisa DUNIANI ni UMMA A.K.A ppoooooz. NASARI kapige kampeni A-town.
   
 2. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina uhakika kesi hiyo imebakwa na mafisadi ila mumelilia wembe mtapewa.
   
 3. s

  sverige JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  wacha kuchemka wewe mahakama ya mwisho ni ya mungu sio umma
   
 4. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mungu hajawai kuacha UMMA. Maamuzi ya umma ni mkono wa JAR
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwanza Mkuu Mbowe, RAIS WA UKWELI DR SLAA! Zito, Sugu, Msigwa, LISSU, MDEE, MNYIKA, NASSARI mama weee hivi hii BARCA ya CHADEMA ikiwa pale A town nani atatoka, CCM hawauwezi huu mziki ni watts nyingi mnoo wataishia kupasuka masikio tuu. LEMA usihofu hizo gharama tutachanga tutakulipia tupe namba yako ya tukutumie M-pesa. CCM wezi wakubwa wa mali ya UMMA
   
 6. T

  Think2020 New Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama tulivyoanza na MUNGU na kumaliza na MUNGU kule arumeru mashariki na Arusha itakuwa hivyo hivyo
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani CDM jipeni moyo, hii ni mbinu ya CCM kupunguza nguvu za CDM, Sasa huko Arusha wapeni dozi ya lala salama ya 2015.
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,818
  Trophy Points: 280
  "Makalio ya sufuria hayaogopi moto, wameepua sufuria, tunabandika sufuria" By Lema.
   
 9. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi napendekeza campaign ya Arusha ipigwe na kila mwanachama wa CHADEMA. Inatakiwa safari hii Lema ashinde kwa asilimia 99. Kura za mgombea wa CCM zibakie za watu wa nyumbani kwake tu.
   
 10. S

  Shembago JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado segerea nalo tutachukua maana mahanga hali yake ni tete mahakamani,nina imani na huyu jaji professor labda kama naye anataka afanywe kipofu kwa mijihela ya magamba!
   
 11. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CDM rudini nyumbani A town hata Lema akigombea na Lowasa+Kikwete A town bado atachukua jimbo.
   
 12. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Em. Namezea A-town Fundo la mate.
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha CCM wakaendelee kujidhalilisha tena Arusha! Safari hii sijui tutasikia yapi!, maana ya watu kufamu ukoo kuliko wazaliwa wa ukoo wenyewe tumeyasikia Arumeru; Sera mpya ya CCM ya MATUSI imeasisiwa Arumeru; Arusha huenda tukasikia .......!!! ilimradi tu "Lakuvunda halina ubani"
   
 14. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm twajimaliza wenyewe kwa kesi hata kama tunashinda mahakamani tuna wapromote cdm bureee. tumekweishaaa.
   
 15. K

  KWELI TUPU Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowasa, mkapa, lusinde, nchemba, nape, jk, wote ni waizi waliuza hata hoteli za wildlife na leo hii tunanyanyasika... Leo hii wakija hapa kupiga kampeni wataishaaaaaa.. Majambazi walioitia nchi matatizo ya umaskini hawa wanataka nini hapa arusha? Kwa taarifa yenu.........tutawabomoa na siri zote za nchi tutaanika... Lowasa anakula sh.100 kila vocha ya sh 500 ya voda unayotumia je ni watu wanapi nchii hii wanatumia voda? Anapata approx 500milion kwa siku bila kuvuja jasho........mkapa atamfufua mwal/ nyerere.. Hao barick wataondoka siki si mingi......... Pumbafuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 16. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kulala mpaka ..................... ! tutarudisha tu jimbo shaka ondoeni. Plus la segerea tutakuwa na wabunge 50 mpaka mwezi wa 8.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Sasa kifuatacho AR ni zaidi ya Arumeru,kila mwanachadema atakuwa front line kupiga kampeni,hii itakuwa ni nyumba kwa nyumba/mtaa kwa mtaa, mtu na mtu na ufanisi wa mbinu za kuikabili CCM umeongezeka kwa %89,
  Subirini kipigo chake sasa.
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Ok ok hilo la EL kula 100 kwenye voda nilikuwa silijui kabisa,
  CHADEMA FOR LIFE.
   
Loading...