Uchaguzi wa Ubunge Arusha: Kwa nini NEC Isitengeneze upya Daftari la wapiga Kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Ubunge Arusha: Kwa nini NEC Isitengeneze upya Daftari la wapiga Kura?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chakaza, Apr 5, 2012.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,646
  Likes Received: 16,082
  Trophy Points: 280
  Baada ya Lema kukataa kukata rufaa dhidi hukumu ya kutengua Ubunge wake ni wazi uchaguzi utafanyika ndani ya siku 90 kwa mujibu wa sheria.
  Kwa nini NEC isitumie muda huu kufanya marekebisho ya daftari la wapiga kura ili kuwapa wakazi wa Arusha wenye sifa ya kupiga kura fursa yakujiandikisha kama walikuwa hawakujiandikisha awali kwa sababu mbalimbali?
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Wanaogopa vijana wengi watajiandikisha na itakula kwa wakubwa wao
  Wanataka waendelee wale wale waliokuwepo
  Ndo maana vyama vyote vinatakiwa kupambana hili yaani kuliboresha daftari hilo iwe kazi ya kila mara
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hata hao waliojiandikisha 2010 CCM hawana chao, hao ndo waliompa LEMA ushindi. CCM hawana pa kutokea kwa kweli, wakisema daftari liboreshwe ndo kabsaaaaaaaa
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,539
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tunza hiyo ni silaha yetu ya mwisho 2015 ya kumfurumushia FISADI,anasema vijana ni timed bomu,maana yake 2015 linamfumua
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,854
  Likes Received: 29,067
  Trophy Points: 280
  Formula ni ile-ile ya arumeru, piga kura linda kura.
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,646
  Likes Received: 16,082
  Trophy Points: 280
  Kama mtu katimiza umri wa kupiga kura ni haki yake kikatiba kuruhusiwa kupiga kura.Jee hapa NEC haivunji katiba kwa kuzuia vijana hao kupiga kura? Kama inavunja hatua gani zichukuliwe?
   
 7. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NEC ipi hii ya CCM? NEC haitaki kuweka mambo wazi maana ipo kwa ajili ya interest ya wezi wa CCM
   
Loading...