tumsaidie ndugu yetu lusinde shule za kata zipo nyingi. tumrudishe darasani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumsaidie ndugu yetu lusinde shule za kata zipo nyingi. tumrudishe darasani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmeku, Apr 5, 2012.

 1. mmeku

  mmeku Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumsaidie ndugu yetu lusinde shule za kata zipo nyingi. tumrudishe darasani. ... huyu jamaa tusimlaum nlipata bahati ya kujua elimu yake. kumbe ameishia darasa la saba bana. akaenda kusoma chuo cha siasa cha ccm . sasa sijui huko ndiko alikojifunza mitusi yake
  ila elimu yake ina mruhusu kufanya anachojiskia. coz asingekuwa bungeni angekuwa kondakta wa dala dala za mbagala kawe. ndiko kwa vichaa wenzake.
  huyu jamaa simweli yaani anatakiwa aombe nafasi ya kurudi darasani chini ya udhamini wa ccm. mbona shule za kataa ni nyingi saana. anaweza kuingia QT elimu ya watu wazima atleast afike form 4 inatosha.
  elimu hii itamsaidia kumfungua ubongo wake ambao ni mzito saana
  alishndwa kutofautisha mchana na usiku miwani nyeusi aliovaa ikamdanga kwamba yuu salama
  si jambo la kumlau huyu jamaa uwezo wake wa kufikiri ulifika kikomo. ni wakati wa kumpa msaada ndugu yetu lusinde
  tumsaidie aweze kutafakari kabla ya kutenda
  ndugu zangu wa cdm huyu jamaa historia yake inaonyesha alishaugua matatizo ya kichwa. hivyo basi msuli yake ya kichwa hairuhusu mzunguko mzuri wa hewa kichwani na kumpunguzia uwezo wa kufikiri

  elimu ni haki ya kila Mtanzania. tumsaidie ndugu yetu lusinde arudi darasani
   
Loading...