Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kifuniboy, Apr 4, 2012.

 1. k

  kifuniboy Senior Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga?
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unafiki ndo unamsumbua!
  Hana msimamo halafu anataka kuwa raisi!
   
 3. s

  sapal kihava Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ''Huu ni unafiki" Anajifanya mpiganaji ana record gani yaushindi tangu ameanza kupigana dhidi ya hiyo anayoiita vita dhidi yaufisadi Wakati bado yupo kwenye kundi la walaji wazuri wa ''Mkate wa taifa unaoliwa na wachache wenye meno makali zaidi ya msumeno?'' huwezi Kupambana na adui Unaye ishi nae atakumaliza! Ili awe mpambanaji wa kweli ajitoe huko aliko (ccm) ili awashambulie vizuri kwani kanuni za kivita zina sema; '' Ili upambane vizuri na adui katika uwanja wa vita lazima muachane umbali fulani ili iwe rahisi kumuona adui kabla hajakuona'' Hawezi kupambana na akashinda ikiwa mbinu zao zina fanana mimi nafikiri hata hizo kampeni anazo shiriki kufanikisha ushindi ndani ya chama chake Hazitoki rohoni ila ana force kwakuwa yumo humo humo! Sijaona mchango wake bado katika kile anacho kiita vita dhidi ya ufisadi ila nimakundi ndani ya chama ndiyo kinachomsumbua nakutaka Upresdent-2015 ambao bado ni ndoto ya walafi wengi wa madaraka waliopo katika chama hicho kikongwe (ccm) kinacho tegemea dora ili kufanikisha matakwa yao kuwa nyamazisha wenye macho yakutizama na midomo ya kusema. Huyu ni kama kinyonga jinsi anavyo jibadirisha. Si mfano wa viongozi bora na wenye uchungu na Hiki kibanzi kinacho liwa na mchwa wakali.
   
 4. MAKAPILE

  MAKAPILE Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa huyu bwana nimnafiki sana japokua ni wajimboni kwangu inavyoonekana anataka kula na kupuliza kitu cha muhimu ni kuamia pipozzz kama kweli anadhamila ya dhati ya kupambana na ufisadi, asipo angalia watammwakembye.lakini wadau huyu c mnakumbuka alipewa fulusa ya kugombea kiti cha Uraisi kwa kupitia Pipozz akadilei sana kisha akafanya USALITI kwa wapiganaji wenzake wenye moyo wa dhati akina Mpendazoe?Always ajue CDM ni level siti haichukui watu balabalani.LEO ni tarehe 4/04/2012 ninapenda kwamwambia akichelewa kuamia ndani ya mwaka huu na ujao hatutaweza kumpokea. Na asiamini kabisa kama atapata uraisi kwa kipitia chama cha magamba kwa kwa njia yoyote ile watamtosa kabisa na watampoteza kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.Kazi ni kwakwe maana sisi wengine kweli imetuweka huru kweli kweli.
   
 5. k

  kifuniboy Senior Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  My take: Analo jambo la kweli moyoni mwake ni bahati mbaya sana kwake hajaamua akamate wapi. Huko aliko siko. Yabidi ahame mara moja na asiiache siasa.

  Kwa namna au staili anaishi kisiasa kwa sasa haimfai na alio nao hawamwamini hata kidogo.

  HAMA HUKO BWA SITTA. Kama alivyoshauri mdau mwenzangu basi ikibidi kwa sasa tutakupokea -- kikubwa kuwa dume na usione aibu wakati munkari umekwisha panda na kila mtu anajua. nawe pia wajua panapokufaa ni wapi. Piga moyo konde haraka.

  Ninachokiona kikitokea ni kwamba ikitokea kubadilishwa baraza la mawaziri leo au kesho -- HUTAKUWEPO HATA KIDOGO.
   
Loading...