Nassari yuko mjini leo

Nassari yuko mjini leo

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Mbunge wa Arumeru Mashariki yuko mjini leo, taarifa kamili kufuata...
Nawasilisha
 
Yuko mjini kivipi?...anafanya shopping?
Eleza kitu kinachoeleweka!
 
Atafanya mkutano na waandishi wa habari mjini chini ya kada maarufu Sabodo
 
Dar ni mjini ha ha ha! kumbe si kwa washamba wapenda chama cha Mafisadi? aibu!!! Kwa ufupi hapo dar unapopaita mjini Mnaona kila kitu kibaya kwa nchi hii kinapotokea lakini mmekaa mnapiga wali tuu! ha ha ha! eti mjini ha ha ha
 
Dar ni jijini, Arusha ni mjini jaribuni kutofautisha hivi vitu. Tanzania tuna jiji moja tu, mingine ni miji.
 
Dar ni jijini, Arusha ni mjini jaribuni kutofautisha hivi vitu. Tanzania tuna jiji moja tu, mingine ni miji.
MWANZA, TANGA, MBEYA NA ARUSHA pia wanaita majiji lakini hayana hadhi ya kuitwa JIJI
 
Mkuu mjini ni lugha iliyozoeleka kwa wadanganyika wengi, ndiyo maana miji mingine inaitwa kwa majina au mikoani.
 
MWANZA, TANGA, MBEYA NA ARUSHA pia wanaita majiji lakini hayana hadhi ya kuitwa JIJI

hizo zilikuwa ahadi za mkapa. eti atawapa miji yao kuwa majiji. hahahaaaa...!!
 
weka sawa mjini wapi yupo Nasari? mimi najua atakuwa Arusha mjini leo tena mahakamani
 
Kwa watu wamikoani ukisema mjini(Town) maana yake ni Dar-es-salaam!
 
huyu naye kaanza kuzurura ..we Nasaari we si ulisema utakuwa busy kuchimba visima wewe sasa huku unafuata nin ?au umekuja kununua blackberry na suti ya kwendea bungeni?
 
Back
Top Bottom