Ni uamuzi mzuri kukata rufaa, LAKINI KWA MAJAJI WAPI. Kama ni Watukufu waheshimiwa Nsekela, Munuo, Kimaro, Rutakangwa na wengine ambao sijawataja hawa hukumu zao ni za haki kabisa. Just go and...
kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom).
my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini...
The government has been advised to review the process of electing East Africa Legislative Assembly members by adding two more seats for the opposition parties to the current one.
The former...
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa maoni yangu kuhusu tume ya mabadiliko ya katiba iliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kama ifuatavyo.
Kwanza ni kuhusu suala la uwiano wa wakilishi kutoka katika...
Nimefuatilia matukio mawili hivi karibuni ktk mji wa Iringa. Mimi naamini ni ukata na sikukataa burudani kama nilivyo ikuta kwenye Blog moja ya Francis Godwin ikiwa hivi...
Ni juma moja limepita sasa toka wananchi wa Arumeru Mashariki wakatae siasa za uchifu, siasa za mnada na kuonyesha chuki na hasira zao kwa kupandikiziwa chaguo la mtu kwa manufaa yake binafsi...
Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika...
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bunda mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amewaomba wapiga kura jimboni humo kutompigia kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia...
Kampuni mbalimbali zinazofanya biashara tofautitofaut kwel zinalipa kodi kulingana na kile wanachopata? Nahamasika kulizungumzia hili suala kwa kuwa tuna utitir wa makampun hapa Tanzania lakin...
Naipenda Tanzania, najivunia kuwa Mtanzania. Serikali yetu inamamlaka kisheria juu ya usimamiaji wa haki na usawa, mgawanyo wa raslimali zote za nchi kwa raia wake bila upendeleo. Kwa niaba ya...
Gazeti la mwananchi siku hiz halipatikan kwenye mtandao kama zaman,siku hiz linakawia sana kuwekwa kwenye mtandao. Mfano mpaka muda huu saa 2 asubuhi lipo la jana tena habar moja tu the rest ni la...
Jana kwenye sherehe ya jirani yangu nilikuwa na Mjumbe wa shina wa CCM. Mwaka 2010, baada ya Dk Batilda kushindwa na Lema ktk ubunge, alisikitika sana na kudai kuwa kama Batilda angeshinda, basi...
Chama cha mapinduzi ni chama tawala hapa nchini kwetu na kimekuwa madarakani enzi na enzi tangu kuzaliwa kwake.
Baada ya Tanzania kuingia ktk mfumo wa vyama vingi kimekuwa kikipata upinzani mkali...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAGOMBEA WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WATAKAOIWAKILISHA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUPITIA CHADEMA
Chama Cha...
Heshma kwenu Wakuu,
Naombeni kwa mdau yeyote mwenye Audio Link (full coverage) ya hotuba za Mh. Lema na Mh. Mbowe zilizotolewa viwanja vya NMC 7/4/12 juu ya hukumu ya kesi ya Lema na hatma ya...
Nimesoma kwenye Tanzania daima kuwa Kamanda Lema ataanzia mzunguko wake Dar, tukiwa wapenda mageuzi na watamanio haki kutawala ktk nchii, tunaomba tarehe iwekwe wazi mapema ilikuanza uhamasishaji...
Nimepitia blogu ya Michuzi na kuona Mama Pinda akiwa kwenye msiba wa Steve Kanumba. Lakini vilevile Mama Pinda kaenda pale akiwa kwenye gari ambayo ikiwa na nembo ya Taifa ambayo inatumiwa na...
Nendeni hapa walotaka kujisomea yaloandikwa na mh. lema kuhusu Pinda (Waziri mkuu JMT) kuwa muongo http://www.chadema.or.tz/habari/habari.php?id=120
1. UONGO WA KWANZA
Mheshimiwa Spika,
Waziri...