Wanabodi,
Wale wenye access, please watch Kipindi cha Baragumu now, kinachorushwa na Channel Ten, M/Kiti wa CUF yuko hewani Live akizungumzia issue mbali mbali ikiwemo kukemea vikali tuhuma za...
waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa.
Anasema...
Wakuu kama mjuvyo soon Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, jee kuna mawaziri gani ambao wamekuwa janga la taifa na mawaziri gani wanastahili pongezi
Au mawaziri gani...
Kwanza kabisa naomba niseme kama wewe unadhani utachangia hizi hoja zangu kwa matusi ni bora ukasoma tu na kupotezea, natamani kuona wale wote watakao changia hapa wachangie kwa lengo la kujenga...
Wana JF kuna jambo la kujiuliza kwa tabia ya CCM na jinsi walivyowafungulia kesi karibu wabunge wote machachari wa CHADEMA kwa nini Zitto hawamgusi zaidi wanashirikiana na kupongeza mara kwa mara...
Wed, April 11th 2012 Tanzania |
Wed, Apr 11th, 201
Esther Murugi, the minister of state for special programmes
NAIROBI, April 11 (Reuters) – Kenya and Tanzania issued tsunami...
Wed, Apr 11th, 2012
Tanzania | Wed, April 11 2012
By In2EastAfrica Staff
Serengeti District councillors on Tuesday supported President Jakaya Kikwete's position on the construction of...
Ni jambo la ajabu na lakushangaza kwa Jeshi letu la Polisi kwa umati ule kukaa kimya juu/kutokuwa na sababu za kiintelejensia ambazo tumezoea kuziona pindi kuwapo na mikusanyiko ya hapa na pale...
Muda mfupi uliopita nimesikia kwenye redio moja ya Fm hapa Shinyanga kuwa Mh.rais amemteua makamu wa rais Mh. Bilal kuwa mkuu wa chuo cha Nelson Mandela na Mh David Mwakyusa kuwa mwenyekiti wa...
Kodi ni agenda kubwa sana, ni kitu unategemea wanasiasa wangekua wanakiongelea sana lakini kwa nini hapa kwetu sisikii wanasiasa wakiongelea kodi.
Kuna mambo mengi ya kuongea katika suala la kodi...
Nyerere piloted the Union. No body understands the intention and implementation of the union!! Evcerybody sees it as a total mess!!
In this case; why should we praise Nyerere for this Union that...
Usingizi wa pono, utapia-akili, ufinyu wa fikra na kutokuweka mbele maslahi ya taifa wa "wabunge" walio wengi wa CCM umenisukuma kunukuu Taarifa ya Pili ya Tume ya Jaji Nyalali ya mwaka 1992; uk...
Wanabodi,kwa mawazo yangu binafsi naona ingekuwa vema na haki kwa viongozi Makamanda wa CDM kutafakari kwa umakini juu ya CDM DAY,siku ambayo nadhani iwe ni ile siku M4C ilipozinduliwa,achilia...
Ebena ni noma,tumezoea kuona umati mkubwa kama huu,ktk mikutano ya dini.na kiaina sana tena kwa kuletwa na maroli,mabasi,na kupewa nauli ya kurudia kwa wale wanaitwa wa magamba.ila leo kuna kina...
Kimefanyika kikao cha watu watatu Mbowe, Slaa, na Mtei (cha siri) kilichoketi kuhakikisha Zitto anafukuzwa katika chama.
Inadaiwa ni kwa sababu ya kupingana na mpango wa chama hicho wa...
Kwenye taarifa habari ya leo nimeona maajabu:
Maandalizi ya mazishi ya mkuu wa majeshi ni pamoja na kupaka rangi nyumba. Yale yale ya kufukia mashimo barabara zetu tunapojiandaa na ziara za...
Katika hali isiyo ya kawaida, jaji Moses Mzuna, anayesikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Jimbo la Singida mashariki, leo asubuhi amemlazimisha mbunge wa Jimbo hilo, TUNDU LISSU- CHADEMA, apande...
Naamini kuwa siku ya kuikomboa Tanzania sio siku ile CCM itakapong'olewa madarakani, au siku ile CHADEMA watakaposhika dola bali siku ya kuikomboa Tanzania ni siku ile watanzania tutakapoanza...