Hatimaye Joshua Nasari Aaapishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Joshua Nasari Aaapishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amavubi, Apr 12, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  kijana ameandika historia katika maisha yake leo baada ya kuapishwa rasmi tayari kuwatumikia wana Arumeru mashariki.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  yeah na sioi amepewa hati ya ushindi wa pili
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Bunge lazizima kwa shangwe
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  asante kwa kutuhabarisha wengine tulikuwa hatuna taarifa hiyo
   
 5. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Dogo Ndugai bana....eti order,order,order......mbona CCM uwa wana-duha na kuduha,wenye kucheza n'ndusii,mganda,ling'oma,mdumange,mangala,mdundiko,bogobogo...lakn kwa Chadema eti order,order,order....ila nilipenda dogo chidaz akampe mkono Wassira!
   
 6. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Lowasa, na Wasira walitoka nje kwanza. Kwa taarifa nilizonazo Nchemba na Lusinde hawajafika kwenye kikao leo asbh baada ya kusikia kamanda Nasari anaapishwa rasimi.
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?
   
 8. K

  KWELI TUPU Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo janja tayari na viti maalumu tumeingia na pipooooooooooooooooozzzz
   
 9. dallazz

  dallazz Senior Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wabunge wengi akiwemo mh waziri mkuu wampigia shangwe Nassari soon baada ya kuapishwa.
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,668
  Likes Received: 17,723
  Trophy Points: 280
  Maskini Lowasa ame-LOWA na hana confidence tena
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ipo tayari jamvini
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Una maanisha nini? What is your reference when you are saying Umri Mdogo? 18 years, 20 years?
   
 13. M

  Murukulazo JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 576
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  sasa kazi ni moja tuu nassari.......!
   
 14. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  huku kwetu Ilala
  wamekata umee!
  Yani aliposimama
  2 mh mbowe kuu
  liza swali mara wa
  kakata. Naendelea
  kuichukia ccm.
   
 15. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  zito kabwe aliingia akiwa mdogo na mkosamali
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Chuki ya kuichukia
  ccm inaendelea,
  aliponyanyuka
  mboe 2 wametuka
  tia umeme
  washenzi sana.
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kwamba Umri Mdogo kabisa wa Mtanzania Kugombea Ubunge ni Miaka 21. Kwa Hiyo haijawahi kutokea katika Uchaguzi tukapata Mbunge mwenye Umri wa miaka 21. Ila kwa Sasa walio bungeni Joshua Nasari anaweza kuwa the Youngest
   
 18. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  All the best kamanda Joshua
   
 19. Marunda

  Marunda Senior Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama vile mnyika ndio tunakutumainia hivyo!
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duhh, Dogo janja, Duhh CDM inaangalia vijana na kuwajenga
   
Loading...