Dr.Slaa ziarani Kahama, Mbongwe ,Bukombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Slaa ziarani Kahama, Mbongwe ,Bukombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chitambikwa, Apr 12, 2012.

 1. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo anatarajia kufanya ziara ya kuimarisha chama mkoani Shinyanga kuanzia Tar.16/04/2012.

  Atatembelea pia Jimbo la Mbongwe ambapo atakagua jengo jipya la chama lililo fadhiliwa na Bwana M.Sabodo na kufanya mikutano ya ndani na ya Hadhara. Habari hii imedhibitishwa na uongozi wa Chadema kahama, shinyanga na mbongwe  Leo pia hapa mjini kahama timu ya YANGA (wanandondi) itakuwa hapa kucheza mchezo mmoja ikiwa njiani kuelekea Mwanza kucheza na Wanae Toto Africa
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa taarifa.
   
 3. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,710
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Asante sana kwa taarifa! tunamtakia kila la kheri Dr. katika ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hueleweki wakati mwingine
   
 5. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unafikiri hatuufahamu unafiki wako....KIGEU GEU....Kama wewe ni mwanake....mh....sijui huko pemba kama hujalipiwa yakkheee.....
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,849
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Apitie na Igunga awashukuru wananchi
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,207
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Jamani Polisi msituletee habari za Al-Shabaab hapa ili kuzuia kuimarisha chama. Aiseee kwa jinsi CDM ilivyoibana ccm nachelea kusema 2015 ni mbali sana kwa magamba kuendelea kuwepo. Katiba mpya iitishe uchaguzi 2014 tuondokane na hili dubwana once and for all...
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama yupo mwenyewe nitafurahi zaidi kuliko kuwa na yule.manake ni kukiongezea chama gharama zisizokuwa na maana
   
 9. m

  mwakarobo Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana mi namkubali Dk Slaa
   
 10. m

  mwakarobo Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena ni bora Chadema wakam2mia huyuhuyu Dk Slaa ktk kukiimarisha chama kuliko Lema maana Dk Slaa ana historia ktk siasa kuliko Lema
   
 11. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 19,437
  Likes Received: 8,503
  Trophy Points: 280
  Hueleweki, moyo na akili vinataka ila tatizo ni tamaa za mwili tu!Ufunikwe na damu ya Yesu
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ni kwelu mkuu.CDM ilishinda Igunga lakini wahuni wakachakachua.
   
 13. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,083
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  ...tulia unyolewe,mbona umeanza kutetemeka...akitoka Silaa LEMA nae atakuja sasa sijui ndo utakimbia mji?!...
   
 14. M

  MALAGASHIMBA Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dr,jitaidi ufike Isaka,Kagongwa,Segese,Kakola,Masumbwe,Lugunga,Ushirika,Bwelwa,Iboya na Runzewe.
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,563
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  karibu dakta na rais wangu!
   
 16. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 341
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pia atakuja na Geita wiki ijayo kwa ajili ya kufanya mikutano ya ndani na hadhara kuimarisha chama, magamba yakae chonjo.
   
Loading...