Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Mkutano una hamasa kubwa sana watu wameanza kumiminika kwa wingi sana.
 
Jama nami natokea maeneo ya hombolo nielekezen vilipo viwanja vya barafu
 
Jama nami natokea maeneo ya hombolo nielekezen vilipo viwanja vya barafu

Wadau wamenielekeza kua,ukifika dodoma mjini ulizia uwanja wa jamuhuri,au shule ya sekondari ya jamuhuri hapo utakuwa umefika viwanja vya barafu.
 
Unajua najiuliza jinsi gani nilivyokua na shauku toka jana naona muda hauendi, hivi wale wanaoendaga kwenye mikutano ya magamba wanakuaga na shauku na moyo kudhamiria kuhudhuria?
 
Freedom is coming-- not tomorrow-- but today,. tunasubiri kusikia. All the best kwa mlioko huko.
 
Makamanda huwa 2liopo arusha 2nawapa kila ki2 mpaka niuyork! Na nyie wa 'makao makuu 2peni yote ya leo kuhusu peopleeez.
 
Back
Top Bottom