Je kwa hili amuoni kama Zitto ni kibaraka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwa hili amuoni kama Zitto ni kibaraka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gwavara, Apr 12, 2012.

 1. g

  gwavara Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya uchaguzi mkuu 2010 kuisha kikao cha kwanza cha bunge kiliendana na uundaji wa kamati!ccm walijitaidi kwa nguvu zote kuitikisa kambi rasmi ya upinzani bungeni iliyokuwa inaundwa na cdm ili zile kamati za kudumu za bunge zinazoongozwa na upinzani zote zisiangukie kwa cdm coz is a threat kwao.walitengua hadi kanuni ili vyama vingine mamluki vipate nafasi!mapesa,l.mrema walipigiwa kura za kishindo pamoja na zitto kabwe waliyekua wanamuunga mkono!tujiulize hivi katika mazingira ya kawaida ccm wangeweza kumpigia kura lissu?na je kwa nini zitto walimtaka?maoni yangu ni kuwa wanamtumia na yuko under special contract kuimaliza cdm!naomba mawazo yenu
   
 2. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Facebook material!!
   
 3. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Acheni kukimbia kivuli chenu. Zitto ni zaidi ya CHADEMA. Amekaa kitaifa na kimataifa zaidi.
   
 4. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Maneno ya vijiweni mnaleta JF Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi kila siku Zitto msaliti Zitto Zitto Zitto, kwa upande wangu awe msaliti asiwe msaliti but the guy is smart anajua mambo mengi, anajua kujenga hoja yaani utafikiri hajakulia maeneo ya Mwandiga, Bitare, Kibilizi etc. Kama uliangalia bunge la jana jioni ni kwamba yeye ndo alikua mwongeaji na wabunge wengine wakageuka kuwa wasikilizaji, alimchachafya sana Mh Chami. Zito for prezidency 2015
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kama umejiunga kumchafua ZITTO basi umechemka,
  ZITTO ni sawa na almasi kwenye matope, watu wataisafisha na kuitumia.
  ZITTO ni mbunge pekee chadema mwenye uwezo wa kujenga hoja binafsi na mwenye kujiamini kiasi hata wana CCM wanamgwaya.
  Hachafuliwi zito kirahisi namna hiyo, we utamfananisha ZITTO na SUGU?
  Hoja legelege
   
 7. d

  detawa hoki Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nafikiri kufahamu mambo mengi sio hoja ya msingi iliyoletwa, some one can be smart enough to make u to be completely and consistently misled ...so be cautious with smart guys..have deep analysis of issues...when someone speaks in the parliament,other are bound to listen...hivyo kusema alikuwa mzungumzaji na wengine wasikilizaji ni utaratibu wa kawaida hata kwenye mabaraza ya kupiga soga.
   
 8. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Binafsi siono jipya kwa Zito Ingawaje siku za Karibuni CUF na CCM damu damu wanampaisha sana..., Ana vielemnt vya Kafulila au Walid Kabour kwa hiyo hafai kuwa kiongozi wa Upinzani. Ukitaka kujua angalia matukio anayofanya.
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hebu nijibu hili swali!
  Unajua ni kw nini VIONGOZI wa chadema wanampandisha sana jukwaani ZITTO? ukipata jibu utajua umuhimu wa zito kwenye chama cha MTEI.
   
 10. K

  KAKUNDASTINO New Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa,na lazima tukumbuke wakina mrema walivyo tuyumbisha na siasa za kimamluki ktk uchaguzi wa awamu ya tatu. Watu wenye nia mbaya na mabadiriko lzm wakemewe.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ushabiki kwa makamanda wa CDM, ndio utakao kiangamiza chama. Kuna washabiki wa zito, Slaa, Mbowe nk. Hii ni hatari kwa chama. Mimi nimemsikia mbunge mmoja wa ccm akisema kuwa waliamua kumpa zito nafasi hiyo kwa sababu zao za kisiasa. So CDM inapaswa kuwa makini na CCM.
   
 12. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Kwako ndiyo,kwangu ni swala la kujadiliwa kwa umakini tunakoelekea kwenyemapinduzi ya kweli kifikra
   
 13. maphie

  maphie Senior Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ni jambo linalotia shaka ila huyu tayari alishafahamika na uthibiti kwamba chama hakiathiriki ni mkubwa
   
 14. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  wacha niwe huru kuzungumza nionavyo kuna sababu ya CCm kumuunga mkono Zitto na kuwakebehi wabunge wengine wa upinzani (mfano vijembe alivyokuwa akitupiwa Lissu kuwa elimu yake ya ovyo).
  Hawa wanahitaji Zitto apate nguvu na kuungwa mkono kwa lazima ndani ya chama chake kusudi apitishwe yeye katika uongozi wa nchi pale yatakapotimia ya upinzani kushika hatamu na si yule wanayemdhania ni tishio kwao na mashali yao(machafu)....
  Hili liko wazi Zitto si tishio kwa maslahi yao yaliyo na mashaka kibao
   
 15. g

  gwavara Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka wewe ni gamba la nguvu au mwana cuf uliyedandia siasa.niko cdm tangu 2007 nakijua chama changu vizuri!eti zitto ni zaidi ya chama.tuombe mgombea binafsi apitishwe tuone kama zitto bila hao mafisadi akina rostam ataweza fanya lolote
   
 16. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe ni zuzu au unatabia ya Nyegere? Unapojibu unatakiwa utoe point isiyoendeleza uchafu.Kwa ufupi wewe na huyo uliyemjibu mtabaki kuwachinjia kuku wageni nyumbani kwenu.Fanyeni kazi,CHADEMA ITABAKI CHADEMA NA MH.ZITTO ATABAKI MH.ZITTO.
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  heee hiii kali sasa, akifa zitto cdm imekufa???
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Magamba bana kila siku Zitto Zitto mnabasilisha tu heading Content Zilezile (Uchonganishi) Imekula kwenu CCM. CDM are united are very determined to take the country on 2015 and your cheap propaganda won't hold water ha ha ha
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Acha Uongo CDM hakuna watu wenye Tabia za Fitna kama Wewe. You are nothing but a GAMBA
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Usijali tumeshawashtukia Wengi wala hawako CDM ni CCM wanaojifanya Wapambe wa Mbowe na Zitto wakija hapa Kuanzisha na Kuchochea Mijadala ya Chuki na Fitna. We have a full control of them hawana Ujanja
   
Loading...