Zipo wapi hotuba za viongozi wengine wa kitaifa waliopita? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zipo wapi hotuba za viongozi wengine wa kitaifa waliopita?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HGYTXK, Apr 12, 2012.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Habari zenu wadau,ni kawaida kwa radio na Tv stations zetu kutoa marudio ya hotuba za Nyerere ktk kipindi cha kumbukumbu za ama kufa au kuzaliwa kwake ila bado sijasikia ama kuona hivi ikifanyika ktk maadhimisho ya viongozi wengine kama vile Karume na Sokoine na wanaisjia kutoa dondoo na vipande vidogo sana vya machache aliyowahi kuyaongea,hii ni kumaanisha kuwa hawakuwa wakihutubia kama Nyerer alivyokuwa anafanya au kuna wanayoyaficha ambayo hawataki tuyasikie kwa sasa?.Mfano ni ktk maadhimisho haya ya leo ya Sokoine TBC wameanda kipindi cha kumuenzi ila wanachokifanya ni kuwahoji wazee na kutoa dondoo tu za yale aliyowahai kuongea pamoja na picha zake alizopiga na sio za video.
   
 2. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jomba tbc,miyeyusho.wapo radhi kuonyesha mazishi ya wabaki live,ila issue muhim ndo vl juu kwa juu.
   
 3. w

  warumu Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa watu ni wa ajab Sana hujaona baada ya Kiyaro kudanja ndo wanapiga ghetto lake soap soap.bonge la ushamba;;;;;;;
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  naitamani kuisikia sauti ya mpambanaji Sokoine but Tvs na radios zote hawaweki siku hizi mikanda yake.
   
Loading...