Jimbo la uchaguzi:Iramba magharibi

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Kwa mara nyingine tena, nawahimiza vijana wenzangu kujitokeza mapema.kuanza harakati za kiuongozi kuziba mapengo yaliyopo ya madiwani wa ccm jimboni iramba magharibi. Nasema kuziba mapengo kwa sababu hata uwepo wao hawa wazee ni kama wafu kifikra. Na kuibua vipaumbele vya maendeleo jimboni iramba magharibi. Nasema hivi huku nikitambua siasa za tz zina mtambuko katika maendeleo ya eneo husika. Wazee hawa si kwa makosa yao bali kosa la kimfumo.

Wa magamba wanyime elimu ya kujitosheleza wape.( k.k.k)tatu.umepwaya sana zama hizi.wamekuwa wakipokea posho na kurudi katani mwao bila mwelekeo chanya wa mipango ya muda mrefu na mfupi hasa katika nyanja za .elimu..afya na kukuza uchumi kwa maendeleo. Ya jimbo.mfano mmoja wapo. Katika nyanja ya elimu watoto wengi wanaosoma shule za msingi wanalazimika kusujudu.wanapoandika mithili ya ibada.

Lakini watu hawa wanaoitwa madiwani wengi wao kutoka ccm wanaendekeza mambo ya hovyo. Kabisa.nawaomba vijana mrudi nyumbani mkaombe nafasi za udiwani kupitia CHADEMA.kukomesha enzi ya ccm jimboni iramba magharibi iliyovimbiwa madaraka.

Pongezi kwa kata chache zilizoko kwenye vyama shindani .igeni mfano wa kijana mwenzetu aliye nyakua kwa kishindo udiwani kata ya kiwira .wilayani rungwe mbeya.toka dar es salaam ,arusha,mwanza na na maeneo mengine.

Rudini tuunganishe nguv na sisi tuliopo huku, kukomboa jimbo hili toka mikono ya mkoloni mweusi anayevuja damu ya haki zilizokandamizwa za watanzania na wana iramba magharibi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

MUNGU WABARIKI WANA JIMBO, IRAMBA MAGHARIBI.
 
Nipo front mkuu, tuna attack kwa sera na tuna attack personally....J Mosi nitakuwa Igunga kukusanya ushahidi ktk harakati za kuandika kitabu nitakochokiita ''Ufisadi wa CCM &Uzinzi wa Mwigulu na hatma ya Iramba Magharibi''
 
Tujadili kidogo .fedha za jimbo hili.zinazofahamika kama fedha za jimbo.zimetumika wapi katika sekta zipi za kuhimiza maendeleo ya jimbo.ama katika afya ,elimu ama katika secta ya kilimo ama popote. Jitokezeni kuulizia.mamilioni haya yanatumikaje?.hasa mwenye jimbo yumo humu humu.tuweke sawa.tujue.adabu ya matumizi ya pesa hz.manake hata madawati hakuna. Watoto wengi siku hizi wanaandika kwa mtindo wa kusujudu.inatisha.(my.take.ukiwa na adabu ya matumizi hata kwa pesa kidogo hata ukipata nyingi adabu hyo itaendelea.)
 
Nipo front mkuu, tuna attack kwa sera na tuna attack personally....J Mosi nitakuwa Igunga kukusanya ushahidi ktk harakati za kuandika kitabu nitakochokiita ''Ufisadi wa CCM &Uzinzi wa Mwigulu na hatma ya Iramba Magharibi''

mkuu nafarijika.hyo title ya kitabu imeshajiuza tayari.nakufariji.timiza lengo lako.nenda igunga.lete picha kamili ya huyu bwana.aliyedhalilisha watu we2.asante kwa mwitikio mku
 
mkuu nafarijika.hyo title ya kitabu imeshajiuza tayari.nakufariji.timiza lengo lako.nenda igunga.lete picha kamili ya huyu bwana.aliyedhalilisha watu we2.asante kwa mwitikio mku

mkuu jitahidi kumpata yule kada.ingia naye mpango elimu.na akupe data zote.ikiwezekana mtafute na yule mama.awe katika book cover.pamoja na kada huyo mzinzi.kwa gain ya wana iramba magharibi.asante mkuu.
 
Tupo pamoja wadau, 2010 nilikuwepo jimboni kuongeza kura za CDM japo hazikutosha,,vijana wengi walikuwa against ccm sema tu hawakuwa wamejiandikisha,,naamini kama tutajitahd kutoa elimu kwa wanairamba 2015 tutachukua jimbo.
 
Back
Top Bottom