CHADEMA sitaki mkimbilie IKULU- 2015

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
Nafahamu lengo la chama chochote ni kushinda uchaguzi. Napenda kuwaambia CHADEMA kuwa katika chaguzi ijayo ya mwaka 2015 ninyi msikimbilie Ikulu kwanza but rather mhakikishe mnakuwa na mkakati maalumu wa kuwa na Wabunge zaidi 200 ili mambo mengi myatengeneze kabla ya kwenda Ikulu sasa mwaka 2025 hapo mtakuwa na mtaji mkubwa na sura kubwa ya Kitaifa mikoa yoote muwa na Wanachama na Wawakilishi wa kutosha ! Mfano Mtwara, Ruvuma, Lindi, Rukwa,Katavi, Njombe, Kagera, Tanga, Dodoma na kwingineko.....! Natamani mpate sura hiyo ya Kitaifa mwaka 2015 na ndipo plan yenu ya kwenda Ikulu itakuwa nyepesi sanaa tena kama kumskuma mlevi kama mlivyofanya Arumeru- East yaani hata kuiba washindwe hao CCM ! Good lucky.....!
 
Tujenge pamoja huo msingi ili kazi ya kuingia ikulu iwe nyepesi,kwakuwa chadema ni pamoja na wewe basi hakuna shaka nawe ni muhimili muhimu ktk chama na ukombozi wa watz.
 
Ni mawazo au njama za kusababisha watu wagiveup straitegie! Acha hizo, 2015 ni ikuru tuu, hata maka 2010 iliwezekana ila ni ambo ya michezo michafu tuu! Wabunge wangekuwa wengi zaidi ila njama mbovu, si unafahamu ya sumbawanga? Shinyanga nk, nk.
 
nani kakudanganya kuwa cdm itajipeleka ikulu,ikulu cdm itapelekwa kwa kura za wananchi
 
hakuna muda wa kusubiri wana CDM ujue biashara mapema mahesabu jioni 2015 tunatia timu ikulu then tunarekibisha nchi naomba tuwape saport viongozi wetu katika kuleta maendeleo watanzania hawa wanaosema 2025 wana ajenda yao
 
Nafahamu lengo la chama chochote ni kushinda uchaguzi. Napenda kuwaambia CHADEMA kuwa katika chaguzi ijayo ya mwaka 2015 ninyi msikimbilie Ikulu kwanza but rather mhakikishe mnakuwa na mkakati maalumu wa kuwa na Wabunge zaidi 200 ili mambo mengi myatengeneze kabla ya kwenda Ikulu sasa mwaka 2025 hapo mtakuwa na mtaji mkubwa na sura kubwa ya Kitaifa mikoa yoote muwa na Wanachama na Wawakilishi wa kutosha ! Mfano Mtwara, Ruvuma, Lindi, Rukwa,Katavi, Njombe, Kagera, Tanga, Dodoma na kwingineko.....! Natamani mpate sura hiyo ya Kitaifa mwaka 2015 na ndipo plan yenu ya kwenda Ikulu itakuwa nyepesi sanaa tena kama kumskuma mlevi kama mlivyofanya Arumeru- East yaani hata kuiba washindwe hao CCM ! Good lucky.....!
Mkuu unaonekana kuwa na woga wa mabadiliko, umelewa yale yale maneno matamu lakini yenye kudhalilisha utu wa mtu kama alivyosema Bw. Lema. Nadhani umeshajibiwa vya kutosha hapo juu lakini kwa kukujulisha au kukumbusha tu ni kuwa kungoja sana kuna madhara yake pia, Madagascar waliongoja sana wakajikuta wanaongozwa na DJ wa disco.
Hayo ndiyo unataka tusubirie? Ulichonishangaza zaidi wala husemi Chadema ijiandae angalau kuingia 2020 bali 2025. Inaonekana huo woga ulionao umekupa kufikiri kuwa hutakuwepo kushuhudia mabadiliko hayo nini?
Wana JF nawahakikishia bado wapo Watanzania wengi sana wasioweza ku-imagine Tanzania bila CCM. Inashangaza kweli kweli. Nchi nyingine hata jirani kabisa wameweza ila Tanzania tu. Lo! kazi tunayo. Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom