Kwa nini Zito anakuwa hayuko kwenye Target ya CCM na Magamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Zito anakuwa hayuko kwenye Target ya CCM na Magamba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Apr 12, 2012.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wana JF,

  Mimi nataka kufahamu ni kwa sababu gani Zito Kabwe haandamwi na matatizo ambayo wanapata Viongozi wengi wa CDM?

  Mfano:
  1. Kwenye tukio la January 5 2011, ilikuwaje hakuwepo kwenye yale maandamano na matatizo yote waliyopata viongozi wa CDM.....

  2.
  Imekuwaje Ubunge wake haupingwi mahakamani kama wanavyosumbuliwa hawa wabunge engine?

  3. Imekuwaje majuzi alikuwa mwanza kwenye ule msala wa Kina Kiwia na Machemuli yeye akakosekana?

  4. Kama mnakumbuka imekuwaje ubunge wake kaupata kiulani, wakati wengine ni hadi nguvu ya umma kushinikiza?

  5. Inakuwaje watetezi wengi wa Ufisadi na CCM wanamtetea kufa na kupona hata humu JF?

  Nashindwa kuelewa kwa sababugani yeye amekuwa CDM lakini hajawahi kupata mskike mshike wowote tangu awe kwenye hizi siasa za upinzani wakati watu hadi mapanga wanapigwa... Selo wanawekwa...
  Je ni kipi anachoweza kutuaminisha kuwa yeye ni mpiganaji na mtetezi wa wanyonge wakati kina Nelson mandela walikuwa wanakamatwa na kufungwa kwa ajili ya kutetea wananchi..


  Tuache ushabiki wa ki CCM tujadili hili.....
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Nona unataka kujidhalilisha na HOJA LEGE LEGE!
  hebu niambie bungeni mbunge gani wa upinzani unaweza kumfananisha na zitto? ukiondoa LISSU, na MBOWE
  nitajie mmoja tu unayemjua!
   
 3. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani kuwa upinzani lazima upigwe au ubunge wako upingwe mahakamani? Ukiona hivyo jua Zitto yupo makini kuliko hao unaofikiria. Pia sio lazima njia zote za ukombozi zikafanana, so unataka mbowe nae afungwe miaka zaidi ya 20 kama mandela au unataka aingie msitune kama Kagame? acha uzushi wako.
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa tabia anafana na Kafulila aliyetimuliwa NCCR kwa kutaka kumpindua Mbatia.
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fikiria vizuri kuna majibu mengine yanafuata.
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah! mzee kweli wewe ni fikrapevu. majibu yako yamekwenda shule. umempa shule huyo jamaa na wazake wenye mawazo mgando.
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Sasa nimekuelewa kumbe uoga wako ni zitto kugombea uenyekiti wa chama? kama ni hivyo ondoa uoga kwa kuwa ameshatangaza hatogombea uongozi huo wa juu!
   
 8. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  na mara zote wanaomtetea mapungufu yake unakuta ni wale wale tuliozoea kusikia wakitetea maslahi ya C.c.m? mi pia huwa na kosa majibu ya hili swali
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Zitto anatumia akili, anaifahamu vizuri siasa! the same applies to Mnyika and Mdee!!
  Wengine wote waliobaki CDM ni vichekesho!
   
 10. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fikiria vizuri iweje muwe wawili na mmevamiwa na vibaka wewe umepigwa na papanga mwenzako hata hajaguswa na hata hakusaidii anakuangalia tu? Kama una akili timamu lazima ujiulize ni kwa sababu ipi vinginevyo utakuwa na utindio wa ubongo.
   
 11. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani mnashuhudia sasa, maana katika hali ya kawaida huyu jamaa mnamfahamu na uhusiano wake na Magamba mnaujua.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zitto ana identity problem; chadema hapendwi (of course dini yake ndio issue)

  Anachofanya ni ubishi tu huko chadema anatakiwa aondoke..
   
 13. K

  KAKUNDASTINO New Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika wapinzani ambao siwaamini ni zito! Coz sijaanza kufatilia leo harakati za upinzani wa vyama hapa tanzania.:a s 576:
   
 14. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Sio vichekesho, sema kama ZE-KOMEDY, we SUGU na LEMA mawaziri kimvuli?
   
 15. T

  Tagear Hanssy New Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ya bongo kizungumkuti,ukiwa na hamu ya kuumiza kichwa ifuatilie.
   
 16. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Ila wameshtuka, wanamtumia sana kwenye mikutano yao now , nimecheki Dodoma alivyopanda jukwaani akafunika mbaya utafikili yeye ndio mwenyekiti. JAMAA anatisha,
  Uprezdaaaa unamsuburi huyu jamaaa
   
 17. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mungu akusamehe kwakuwa haujui ulisemalo

   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Zitto ni gamba
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umakini wa zitto ndio utaofanya mtoe mfukoni kitambaa na kujifuta jasho !
   
 20. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo Dini yake ndiyo inamfanya asishiriki kwenye harakati za ukweli... Dini yake ndiyo ilimfanya atake Urais kama anavyosema...

  Dini yake ndiyo inamfanya atetewe na CCM, kwani CCM dini yake ni sawa na ZITO
   
Loading...