Inaweza ikawa katiba mpya ya mpito, au ikawa katiba mpya; hebu tuisubiri tuone! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaweza ikawa katiba mpya ya mpito, au ikawa katiba mpya; hebu tuisubiri tuone!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Apr 12, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Mategemeo ya wanaharakati na wanasiasa haswa wa vyama vya upinzani hata wana CCM wenye muono wa mbali yalikuwa ni kupata katiba mpya yenye kuwasilisha mawazo ya watanzania kwa ujumla wake itakayo tumika miaka mingi ijayo, lakini, kwa kuzingatia ukweli usiopingika kuwa hatua zinazopitiwa ili kuipata katiba yenyewe si za kawaida katika uandikaji wa katiba, ninahisi kuwa katiba inayo andikwa inaweza ikawa mpya lakini ya mpito!

  Normally, katiba mpya inavyoandikwa kuna normal procedures! Lakini huku kwetu Tanzania ni unique, yaani tunatunga procedures zetu mpya ambazo hamna taifa lilishawahi kutumia kupata katiba mpya ‘no literature liview’! Hebu tuisubiri na tuone kama JK atakuwa kwenye historia njema au historia kumsuta kwa kuandika katiba isiyokubalika na isiyo wakilisha mawazo ya wananchi.

  Nawasilisha.
   
Loading...