Je kwa hili bwana kabwe si kibaraka?

gwavara

Member
Apr 5, 2012
37
5
Bunge la kumi lilipoanza ccm walibadili kanuni ili kamati zile za kudumu ambazo huwa zinakuwa chini ya upinzani zisiende cdm kwa kuwa cdm ni theat kwao!katika kufanikiwa hilo kanuni zilizoiruhusu cdm kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni zilibadilishwa ile zile kamati ziende kwa mamluki.katika hili vibaraka mapesa,mzee wa zege na kabwe walipigiwa kura za vishindo na ccm!je unadhani angekuwa lissu angepigiwa kura na ccm kumbuka kuwa mabere pamoja na mustapha akunay wakati wanagomnea uspika na unaibu uspika hawakupigiwakura na ccm hata moja pia hata cuf waliipigia ccm.je kwa hili zitto si kibaraka wao?naomba mawazo yenu.
 
Anauzoefu wa kutosha wa kuongoza kamati..Halafu topic yako imekaa kinafiki sana.Ujishtukii mzee
 
Siku zote magamba ndiyo umuunga mkono kibaraka zitto!atafanikiwa endeleeni kumtumia
 
Bunge la kumi lilipoanza ccm walibadili kanuni ili kamati zile za kudumu ambazo huwa zinakuwa chini ya upinzani zisiende cdm kwa kuwa cdm ni theat kwao!katika kufanikiwa hilo kanuni zilizoiruhusu cdm kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni zilibadilishwa ile zile kamati ziende kwa mamluki.katika hili vibaraka mapesa,mzee wa zege na kabwe walipigiwa kura za vishindo na ccm!je unadhani angekuwa lissu angepigiwa kura na ccm kumbuka kuwa mabere pamoja na mustapha akunay wakati wanagomnea uspika na unaibu uspika hawakupigiwakura na ccm hata moja pia hata cuf waliipigia ccm.je kwa hili zitto si kibaraka wao?naomba mawazo yenu.

Unajua kuyaangalia majira, utavuna zabibu hakika!
 
Unawanted product kwenye chama chetu (kumbuka MTei anataka wakristo wawe wengi kwenye chama chake)
 
Nikumbusheni,ule ugonjwa ambao zitto alisema watu wanaumwa,Ni Zitto nin vile?c lazima tuandike jamani
 
Hivi ww kweli hamnazo,huyo lissu tangua aingie bungeni hapo kafanya nini?hapo cdm hakuna kichwa kama zitto,huyu jamaa huwa anachosema ndio anachofanya'huyo mbowe mikwara mingi kurudisha shangingi halafu kalifata kimya kimya'mbunge gani wa cdm ambae kakataa posho kwa vitendo kama sio zitto'wewe tatizo udini chadema udini uko wazi kabisa wanataka wachungaji na mapadri tu,
 
Bunge la kumi lilipoanza ccm walibadili kanuni ili kamati zile za kudumu ambazo huwa zinakuwa chini ya upinzani zisiende cdm kwa kuwa cdm ni theat kwao!katika kufanikiwa hilo kanuni zilizoiruhusu cdm kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni zilibadilishwa ile zile kamati ziende kwa mamluki.katika hili vibaraka mapesa,mzee wa zege na kabwe walipigiwa kura za vishindo na ccm!je unadhani angekuwa lissu angepigiwa kura na ccm kumbuka kuwa mabere pamoja na mustapha akunay wakati wanagomnea uspika na unaibu uspika hawakupigiwakura na ccm hata moja pia hata cuf waliipigia ccm.je kwa hili zitto si kibaraka wao?naomba mawazo yenu.

ulikuwa wapi tokea kamati zilipotangazwa?,na ulikuwa unamjua tundu lissu kii hivyooo au baada ya kuwa mbunge?,acha kukurupuka,angalia kijana anavyodeliver

nyinyi ndio wale wale mwakyembe alipokuwa mp wa kawaida mkasema ina maana jk ameshndwa kumpa hata unaibu uwaziri !
Kapata unaibu oooh jk anamziba mdomo.
 
Hivi ww kweli hamnazo,huyo lissu tangua aingie bungeni hapo kafanya nini?hapo cdm hakuna kichwa kama zitto,huyu jamaa huwa anachosema ndio anachofanya'huyo mbowe mikwara mingi kurudisha shangingi halafu kalifata kimya kimya'mbunge gani wa cdm ambae kakataa posho kwa vitendo kama sio zitto'wewe tatizo udini chadema udini uko wazi kabisa wanataka wachungaji na mapadri tu,

umechangia hoja ukaeleweka sasa issue ya udini mbona haipo kwenye thread?acheni kupromote udini bila sababu za msingi.Leo mnafurahi kuyatamka lakini siku yakitokea wote tutajuta.
changieni hoja acheni hilo suala halina mashiko kwa jamii na TZ yetu.
 
Bunge la kumi lilipoanza ccm walibadili kanuni ili kamati zile za kudumu ambazo huwa zinakuwa chini ya upinzani zisiende cdm kwa kuwa cdm ni theat kwao!katika kufanikiwa hilo kanuni zilizoiruhusu cdm kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni zilibadilishwa ile zile kamati ziende kwa mamluki.katika hili vibaraka mapesa,mzee wa zege na kabwe walipigiwa kura za vishindo na ccm!je unadhani angekuwa lissu angepigiwa kura na ccm kumbuka kuwa mabere pamoja na mustapha akunay wakati wanagomnea uspika na unaibu uspika hawakupigiwakura na ccm hata moja pia hata cuf waliipigia ccm.je kwa hili zitto si kibaraka wao?naomba mawazo yenu.

Gamba at Work. CHADEMA itawanyoosha sana Mwaka huu mpaka 2015 wengi watakufa kwa Pressure
 
Back
Top Bottom