Vunja muungano inusuru tanzania na vita 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vunja muungano inusuru tanzania na vita 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by munjy1, Apr 12, 2012.

 1. munjy1

  munjy1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TUWACHE KUJADILI TUME YA KATIBA NA BADALA YAKE TUJADILI MUUNGANO AMBAO UNAWEZA KUSABABISHA VITA KATIKA NCHI YETU INAYOTUUMA NA WANZETU WANAOMBA WANGELIKWA WAO NDIO WANAIMILIKI HII TANZANIA, maana KILICHOPO LIBYA, AFGHANISTAN, PAKISTAN, IRAQ, SAUDI ARABIA, SYRIA, NA NCHI ZOTE DUNIANI basi hawafikii MALI AMBAZO TUNAZO SISI TANZANIA, chuma, shaba, almasi, dhahabu, gesi ya atomic, mafuta, tanzanite na mengine yote amabayo siwezi kuyataja, kama wewe ni MTANGANYIKA basi soma haya chini kwa uangalifu na uyafanyie kazi kuiepusha nchi hii katika vita inayokuja mabayo tayari imeshaanza VITA BARIDI, ZINGATIA HAYA

  dah, inauma sana kuona wanajamii mnatuombezea mabaya Zanzibar tupigwe na TSUNAMI https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/248888-wazanzibari-wadai-kura-ya-maoni-kuhusu-muungano-5.html#post3686270 , ila kwanza nawaomba muelewe haya yafuatayo:-
  1. Nyerere ndie aliyekuja kumtongoza karume waungane
  2. Tanganyika iliitongoza Zanzibar iungane nayo kama ni nchi na ilikuwa ni Jamuhuri ya watu wa Zanzibar na hajaungana nasi kutokana na idadi ya watu kuwa tulikuwa laki 1 na 50
  3. Kila kitu mnachotoa kwenu, gesi, dhahabu, almasi na vyote sisi hatunufaiki navyo kama ni part ya jamuhuri, ila kila pato linalotoka kwetu tunawapa bara kwa kupitia TRA
  4. Makubaliano ya Nyerere na Karume yalikuwa yalikuwa katika mambo 11 tu, sasa bara wameyaongeza mpaka kufikia 34 bila ya kushirikisha Zanzibar
  5. Muungano ilikuwa ni mkataba wa miaka 10 tu, kwa nini Nyerere alitumia mbinu ambazo za FREE MASONS kumtoa muhanga mtu maarufu(Karume) tarehe 7 April miaka miwili kabla ya kuexpire kwa mkataba wa Muungano, ambayo pia Kanumba kaondoshwa same tarehe na free mason wenzake (free mason wote huwa ni watu waliozaliwa April ama wanakufa APRIL fanyeni research juu ya hili.
  6. Kwa nini munaendelea kuiganda Zanzibar kama haina manufaa na mukaamuwa kuwabana wazanzibari katika katibu kwa kusema KUJADILI MUUNGANO NI UHAINI
  7. HILI PIA MUHIMU kwa nini mukaamua kuupoteza utaifa wenu WATANGANYIKA na kufanya hilo neno ni tusi kwenu hali ya kuwa ndio ukabila wenu na badala yake mnalazimisha muitwe WATANZANIA, mbona sisi tunajivunia mpaka kesho tunajiita WAZANZIBARI NA WAPEMBA
  8. Sisi tunawalipa kodi nyinyi TRA na haitunufaishi kitu chochote
  9. Zanzibar ni part ya Tanzania ila ukitoa bidhaa yoyote kutoka zanzibar unatakiwa kuilipia tena differnce ukiingiza bara utadhania sisi sio part ya jamhuri
  10. Kwa nini nyerere asitafute nchi kubwa ya kuungana nayo ambayo inalingana kwa idadi ya watu na ardhi pia, na badala yake akatafuta kisiwa kidogo akaungana nacho ili apate kukidhulumu, maana siku zote inajulikana wazi kuwa MKUBWA anamuonea tu MDOGO, na ndio maana Tanzania ilipoambiwa iunganishwe pamoja na EAST AFRICAN COMMUNITY ikakataa kufanywa KENYA, UGANDA na TANZANIA ni NCHI moja, unadhani wangekubali kingeeleweka hapa kwa DHULMA, sbabu angeungana na NCHI ambazo ni TANI moja, sio kama KITOTO KIDOGO ZANZIBAR
  11. MUHIMU KULIKO YOTE PIA hizo nyanya, vitunguu, mchele na vyote mnavyovijua ambavyo vinatoka bara, nataka niwaulize na munijibu kwa pamoja, TUPO NDANI YA MUUNGANO JEE KWANI MUNATUGAWIA BUREEEE AMA TUNANUNUAAAA? na hata UKIVUNJIKA MUUNGANO jibu lake ndio litakuwa hilo mtakalolitoa nyinyie kama ni BUREEE ama TUNANUNUAAAA
  Ahsanteni sana na tuache kuombeana mabaya ya TSUNAMI na mengine, kwani pia na NYINYI TANGANYIKA kuna fitna ambazo zinajengwa na watu wanaotaka mali za TANZANIA NA ZANZIBAR, na tunapoelekea katika uchaguzi wa 2015 TANZANIA kutachafuka vibaya sana na kutapelekea vita vikubwa visivyokuwa na mwisho ambavyo vitachanganya DINI, na MAKABILA, VITA VIPO TU washinde CHADEMA au CCM vita vipo TANZANIA 2015, TUWE MAKINI SANA NA HILI, na kama ningelikuwa na sauti katika serikali ya ZANZIBAR basi ningeishauri WAJITOE KATIKA MUUNGANO kwa haraka sana ili kuinusuru ZANZIBAR na TANZANIA pia katika vita 2015, kwa kuwa vyama vyote vimesajiliwa KITAIFA ina maana UKIVUNJWA MUUNGANO itabidi vyama visajiliwe tena upya na KUTAPUNGIUZA KASI ya vita ambavyo NAVITABIRI MIMI nakama hamuniamini haya maandishi yangu yatasimama kama ushahidi hata kama na mimi nitakuwa MAREHEMU ila mutayakumbuka maneno haya kwa kila anaeyasoma atayakumbuka kila anapolala na anapoamka. TUINUSURU TANZANIA KATIKA VITA KWA KUZIDISHA KAMPENI BARA kwa kuiomba SERIKALI YENU IVUNJE MUUNGANO na bila ya kupoteza MUDA, kwani hasara tutapata sote maana tayari TUMESHAOWANA NA KUZALIANA KWA MIAKA MINGI SANA na kuvunja MUUNGANO hakutaleta athari ya KUHARIBU UDUGU WETU TULONAO KWA MUDA MREFU, bali kutaondosha FITNA na LAWAMA na DHULMA ambazo siri yake wanijuwa ni VIONGOZI tu wa NCHI MBILI HIZI
   
 2. B

  Baba Jotham Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Huna jipya,unatapatapa kama mfa maji.Hatuna shida na muungano kwanza mnatuzingua tu
   
Loading...