CCM asife mbunge wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM asife mbunge wenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by majorbanks, Apr 12, 2012.

 1. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  CCM inatambua kuwa kupata msiba wowote wa mbunge wao katika kipindi hiki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 ni kupoteza jimbo.Wananchi hawana imani nanyi na kadri siku zinavyosogea Mungu anawadhalilisha kwa yale mliozoea kuyatenda kinyume na matakwa na matarajio ya mnaowatawala.
  Mngekuwa watu wa kujifunza,chaguzi zilizopita ni kuvujishiwa kwa mtihani wa 2015.
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, 2015 wataambulia ubunge uko Tandaimba na ikwiriri... Amabako bado kuna wazee wa tokea WW2
   
Loading...