Wizara za serikali ya Tanzania zisizo na mawaziri......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara za serikali ya Tanzania zisizo na mawaziri......!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shagiguku, Apr 12, 2012.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  [h=1]mwenzenu nimestaajabishwa na kitendo cha kuona kuwa wahusika wanaotakiwa ku-up-date taarifa za serikali kwenye mitandao ya intaneti hawafanyi na kutimiza wajibu wao ipasavyo, hebu jaribu kujionea hapa dauni.....!!!! wizara zingine hazina mawaziri ingawaje zipo zinafanya kazi na wizara zingine hazipo kabisa (yaani hazi-exist tena, eg sayansi teknolojia na elimu ya juu etc), zingine mawaziri wake hawapo uongozini kwa sasa (mambo ya ndani) duuuuuhhh..! hii ni baRaaaaaaaaaaa.....!!

  soma mwenyewe......!!


  Wizara za Serikali ya Tanzania[/h] Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Tanzania:
  [TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
  [TR]
  [TH="class: headerSort"]Wizara[/TH]
  [TH="class: headerSort"]Kiingereza[/TH]
  [TH="class: headerSort"]Waziri[/TH]
  [TH="class: headerSort"]Tovuti[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii[/TD]
  [TD]Ministry of Health and Social Welfare[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]moh.go.tz/[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Ardhi[/TD]
  [TD]Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Developments[/TD]
  [TD]Capt. John Z. Chiligati[/TD]
  [TD]ardhi.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi[/TD]
  [TD]Ministry of Education and Vocational Training[/TD]
  [TD]Hon. Prof. Jumanne A. Maghembe[/TD]
  [TD]moe.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia[/TD]
  [TD]Ministry of Higher Education, Science and Technology[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Fedha na Uchumi[/TD]
  [TD]Ministry of Finance and Economic Affairs[/TD]
  [TD]Mhe. Mustafa Haidi Mkulo[/TD]
  [TD]mof.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo[/TD]
  [TD]Ministry of Information, Culture and Sports[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]hum.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana[/TD]
  [TD]Ministry of Labour, Employment and Youth Development[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika[/TD]
  [TD]Ministry of Agriculture, Food and Cooperatives[/TD]
  [TD]Mhe. Stephen Masato Wasira (Mb.)[/TD]
  [TD]kilimo.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto[/TD]
  [TD]Ministry of Community Development, Gender and Children[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]mcdgc.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Maji na Umwagiliaji[/TD]
  [TD]Ministry of Water and Irrigation[/TD]
  [TD]Prof. Mark Mwandosya (MP)[/TD]
  [TD]maji.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Maliasili na Utalii[/TD]
  [TD]Ministry of Natural Resources and Tourism[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]mnrt.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Mambo ya Ndani[/TD]
  [TD]Ministry of Home Affairs[/TD]
  [TD]Hon. Lawrence K. Masha (MP)[/TD]
  [TD]moha.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa[/TD]
  [TD]Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation[/TD]
  [TD]Hon. Bernard Kamilius Membe (MP)[/TD]
  [TD]mfaic.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Mawasailiano, Sayansi na Teknolojia[/TD]
  [TD]Ministry of Communication, Science and Technology[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Mifugo na Uvuvi[/TD]
  [TD]Ministry of Livestock Development and Fisheries[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Miundombinu[/TD]
  [TD]Ministry of Infrastructure Development[/TD]
  [TD]Hon. Dr. Shukuru Kawambwa[/TD]
  [TD]infrastructure.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Nishati na Madini[/TD]
  [TD]Ministry of Energy and Minerals[/TD]
  [TD]Dk. William Ngeleja[/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Sheria na Katiba[/TD]
  [TD]Ministry of Justice and Constitutional Affairs[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa[/TD]
  [TD]Ministry of Defence and National Service[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki[/TD]
  [TD]Ministry of East African Cooperation[/TD]
  [TD]Hon.Dr. Diodorus B. Kamala (MP)[/TD]
  [TD]meac.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko[/TD]
  [TD]Ministry of Industry, Trade and Marketing[/TD]
  [TD]Hon. Dr.Mary Nagu (MP)[/TD]
  [TD]mitm.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  SOURCE: google wizara za serikali ya tanzania.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tanzania ni zaidi ya shamba la bibi. Who cares?
   
 3. L

  Lihove JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  website za serikali ys tz zinatumka politicaly zaid.
   
Loading...