Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani nimeshangaa sana kuona Mh. Mrema, Mh. Cheyo na Mh. Zitto wakiwa na CAG Utouh akitoa maoni kuhusu ufisadi serikalini. Kwanza ni vizuri Mzee Utouh ameweza kuanika ufisadi. Lakini kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Danson Kaijage, Dodoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitasimamia uasi dhidi ya sheria mbovu zinazowalinda marais wabovu wastaafu, ambao wameliingiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fikiria kwa makini alichokisema Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli? NOTE - Ninaediti post hii ili kuongeza theme ya threads zangu zingine ambazo mods wanaziunganisha na hii bila...
2 Reactions
130 Replies
11K Views
Wanabod Waaasalamu aleikum & Bwana asifiwe, Kuna yeyote mwenye update za kesi zifuatazo atujuze?? 1. Karamagi na mwenzie kesi ya ubadhilifu. 2. Mwakalebela na Mrs Sitta - Kesi ya rushwa. 3...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi imejidhihirisha baada ya wapambe wa ccm pamoja na lowasa kishiwa mbwembwe, zile kelele na mbwembwe za wapambe wa Lowasa kuwa lazima awe raisi zimeyeyuka ghafla,baada ya chadema kuwagaragaza...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempatia aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, helikopta na vifaa vingine kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukiunga mkono chama...
7 Reactions
176 Replies
14K Views
Yani ni aibu tupu eti leo ndio wanasimama bungeni kumkumbuka mahundi na kyaro. Aibu tupu juzi ndiyo yalisimama kumkumbuka kanumba. Yani ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuu
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Gazeti la Uhuru limepambwa na kichwa cha habari Pinda kamzima Mbowe bungeni kwa maandishi makubwaaa. Hivi kweli Pinda anadhani maswali mazito kwa majibu mepesi kwa matumizi mabaya ya nyazifa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi kauli za Watanganyika kuwa eti ni kisiwa cha amani, wapole, wakarimu,wasikivu imetufanya tunyang'anywe haki zetu za msingi ndani ya nchi yetu pendwa Tanganyika. Hivi kweli Watanganyika ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali ya maisha ya wakazi wa Mang'ula yako hatarini baada ya kundi kubwa la tembo kutoka milima ya Udzungwa kuvamia mji mdogo wa Mang'ula. Mamlaka husika ichukue hatua haraka kabla madhara makubwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amekivua nguo chama tawala.Amedai kuwa wakati wa kampeni,vyama hubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza wahudhuriaji.Watu hao,ingawa si wapiga...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Wana JF. Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanabodi nilikuwa nasoma makala kwenye Gazeti la Raiamwema ambayo imeandikwa na Msomaji Raia yenye kichwa cha Habari Majaji wana chanjo ya kutotumiwa kisiasa? nikakutana na sntensi zifuatazo...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei...
2 Reactions
73 Replies
8K Views
Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
yatupasa kuwaombea labda watabadilika nakufuata njia ya kweli kuliko kuishi kinafiki ilihali ukwli mnaujua...tuachieni nchi yetu maana nyie hamna uchungu nayo.....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati wa uchaguzi, mpiga kura anapewa karatasi ya kupiga kura yenye majina na picha za wagombea kadhaa. Mpiga kura anatakiwa aweke alama ya vyema (√) chini ya picha ya mgombea anayempenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ambayo niya kushangaza kabisa,mzindakaya anapewa maagizo na kiongozi mmoja wa kenya amsaidie mualifu aitwae davis antony mragha ngoo ambaye alikuwa amekamtwa na uhamiaji kwa kosa la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni (Sefue wa pili kushoto), akifatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Umoja wa Mataifa, Bwana J.Haule (wa pili kulia) watahudhuria vikao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar. Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…