Hivi hawa wenyeviti wa Kamati za Bunge na Utouh wanafikiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa wenyeviti wa Kamati za Bunge na Utouh wanafikiria nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkodoleaji, Apr 13, 2012.

 1. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimeshangaa sana kuona Mh. Mrema, Mh. Cheyo na Mh. Zitto wakiwa na CAG Utouh akitoa maoni kuhusu ufisadi serikalini. Kwanza ni vizuri Mzee Utouh ameweza kuanika ufisadi. Lakini kitu kinachonishangaza ni hawa wenyeviti wa Kamati za Bunge kumsikiliza mtu ambaye bunge wanaloliwakilisha lilisema inabidi aachie hiyo ngazi.

  Hivi hawa waheshimiwa hawaoni kuwa hapo wanajichanganya?
   
Loading...