Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Hoja kali kutolewa na wabunge wa vyama vyote bila kuangalia itikadi zao, jioni ya leo mnamo majira ya saa kumi na moja na kuendelea, kamati tatu za mahesabu ya serikali zitafanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya malumbano marefu na ya siku nyingi tena ikiwa ktk maeneo tofauti na mada ya hapo juu ama ktk thread nyengine ambazo hazihusiani na kadhia hiyo,leo nimeona niweke thread maalum kwa kadhia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wabunge wameanza kupendekeza Pinda aondolewe kama PM. JK akifikiri vizuri, hii ni nafasi murua kwake kuiokoa CCM. Si tu kwa kumuondoa Pinda, bali pia kuteua PM ambaye atampa support ya kufanya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanabodi, Mimi ni mfuatiliaji wa vikao vya bunge letu tukufu kwa kufuatilia matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya bunge kupitia TV na mara moja moja nipatapo nafasi, hutinga kabisa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hatimae spirit ya CDM commanders imeanza kuwaingia wanamagamba, kwa hakika mei mosi twaweza shuhudia serikali ikitoa kauli juu ya hawa watu wake kama ni kuwafukuza, kuwafunga ama kuwanyonga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I have been watching the election for East African Legislative Assembly today, but it seems CHADEMA was caught unaware, they did not groom very competent candidate to represent the party,Anthony...
10 Reactions
279 Replies
21K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali...
0 Reactions
240 Replies
39K Views
Hi Board members! Definately its a high time now to declare that to the hithorto,the need for social revolution in Tz has revealed due to chaos[important causes ]that depict the reason...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Akielezea utumiaji mbaya wa madaraka serikalini na mashirika ya umma filikunjombe amesema nchi nyingine raisi hawezi kusafiri bila ya bunge kuidhinisha safari. Amesema kipigo magamba walichokipata...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Wakuu nipo nasikiliza kipindi cha pata pata cha Wapo radio ambapo wazee wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamewaomba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA waende wilayani humu ili wao...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Aliye kuwa mgombea wa udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza, katika uchaguzi mdogo uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu kupitia CCM na mfanyabiashara mashuhuri bwana Jackson Robert maarufu kama...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Uongozi wa CDM bhana full matatizo mmepigwa chaguzi ndogo tisa kati ya kumi na moja mlizoshiriki.... hili linapaswa kuwa fundisho mjipange vizuri kwa mpambano jamani, kukomboa nchi si lelemama jamani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajumbe hawa wawili ambao Rais amewaingiza katika tume ya kukusanya maoni, wana mushkeri. Judge Ramadhani anatuhumiwa kuhujumu kesi ya mgombea binafsi hivyo kuhujumu demokrasia na kuipa serikari...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Vijana Mkoa wa Arusha na baadhi ya wenye mapenzi mema na CCM walishauri mapema Mary Chatanda ahamishwe Arusha kwani anakivuruga na kuongeza ufa wa tabaka mbili za wanaCCM Arusha, lakini wakatia...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Katika hali inayoashiria sasa nchi yetu inapaswa kuongozwa na Tume maalumu au kikundi cha vijana wenye mrengo mkali kama Youth Patriotic change umejidhirisha Bungeni baada ya pande zote za wabunge...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
SIKU moja baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James ole Millya kutangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama hicho na kuhamia Chadema, chama hicho cha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
KWELI CHADEMA WANAPENDWA HIVI AU MACHO YANGU!? KWELI CHADEMA WANAPENDWA HIVI AU MACHO YANGU!? Imetokea 04/18/2012 kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
CHAGUA JIBU SAHIHI. KWANINI CHAMA KINACHOONGOZA UPINZANI BUNGENI HAKIPEWI NAFASI YA UWAKILISHI KWENYE JUMUIYA ZA KIMATAIFA, KUANZIA EALA, SADC NA PAP? A. Itakuwa kama kukipa sifa chama hicho...
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Mbunge wa Mtera mheshimiwa Lusinde Livingstone aka Kudadeki yuko Tb ccm kwenye kipindi cha jambo leo akiwa na Mrema wakijadili ubadhirifu wa fedha za serikali za mitaa.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu wanaJF Watanzania wamekuwa wakiumia sana kutokana na viongozi wetu kuwa na matumizi yasiyo ya lazima kwa kutumia kodi za wananchi kusafiri dunia kote bila wananchi kupata faida ya safari...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Back
Top Bottom