CCM VS Chatanda - Mdharau mwiba mguu huota tende | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM VS Chatanda - Mdharau mwiba mguu huota tende

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Apr 18, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Vijana Mkoa wa Arusha na baadhi ya wenye mapenzi mema na CCM walishauri mapema Mary Chatanda ahamishwe Arusha kwani anakivuruga na kuongeza ufa wa tabaka mbili za wanaCCM Arusha, lakini wakatia masikio pamba, leo yanayojilia akina Malya, diwani wa CCM na kisha kutafutatiwa na mlolongo wa vijana wengi kuibukia Chadema itakuwa kilio na kusaga meno kwa CCM. Mchelea mwana mwisho hulia, sasa CCM Arusha itabaki na Chatanda anayebebwa na vigogo.
   
 2. N

  Njele JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vigogo wa CCM waliona jambo la maana kwa CCM yao ni kumkumbatia Mary Chatanda huko Arusha, na lijalo ni hili: Madiwani wa Chadema wakizidi idadi ya madiwani wa CCM kura ya kutokuwa na imani na Meya wa Arusha itapata nguvu, hapo CCM hakuna zaidi ya uwepo Arusha ila historia ya mwanguko wa mende.
   
 3. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ccm ni mti unaopekechwa na ndani kwa ndani uijiaminisha kuwa bado uko imara!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kweli kwani ni sawa na mbuyu mkubwaaaaaaaaa lakini ndani kuna nafasi kubwa iliyojaa minyoo na nchwa tupu
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Vigogo wa CCM cha muhimu katika chama huko Arusha ni Chatanda kuliko Idadi ya vijana wengi na viongozi wao wanaotimukia Chadema.
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Kwani huyu Mmama na yeye ni mrembo sana? Anamzidi Batilda?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Vigogo wanaomkumbatia wanajua uzuri wake kumzidi Batilda
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  MaryChatanda.jpg
  Mary Chitanda
  batrilda Burian.jpg
  Dr. Batrilda Buriani
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukizingatia watoka Tanga...
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jamii forums hapana dogo, sikutazamia kupata picha za hawa wawili walioiangamiza CCM Arusha. Vigogo CCM sasa wanajutia kutotenganisha mapenzi binafsi na suala la uongozi kisiasa na athari zake.

  [​IMG][​IMG]
   
 11. N

  Njele JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh mbavu zangu zimebaki kushikiliwa na mikono yangu, sikutegemea kuangua kicheko cha aina hii leo. Hawa ndio watu mashuhuri wa Arusha Batilda Buriani na Mary Chatanda CCM kuwaona ni bora na muhimu zaidi katika mkoa wa Arusha kuliko kulinda uhai wa CCM kwa mkoa mzima.

  Kusambaratika kwa CCM Arusha alumiwe
  Batilda Buriani?
  au
  Mary Chatanda?

  Uongozi wa CCM unaweza kujitetea vipi kwa kashfa hii ya kumkumbatia Mary Chatanda?
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Usiwashutue KEEP QUITE wamekaza macho kuangalia matawi sisi tunakula mizizi.Siku watakapoyaona matawi na mti mzima ukielekea kuanguka kwa kishindo ndipo watakapogundua kuwa mti haukuwa umeshikiliwa na matawi bali mizizi. Ukitaka kula na kipofu usimguse mkono weye!!!
   
 13. N

  Njele JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekupata vizuri sana, maana ukimwamsha aliyelala isijeshtukia ukazidiwa kete.
  Wajua ile kitu tunaita penzi kipofu matokeo yake ndo hayo.
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yaliyopangwa na Mungu, binadamu hawezi kutengua. Walishasema wao wana Mugu, sasa.....
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  ebu tujuzane, ivi mary chatanda kaolewa?? duh anaonekana kufaa sana katika masuala ya unyumba na si uongozi, amuoni anavyokicost chama chake cha mafisadi??
   
 16. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Nasikia ni Chakula ya wakubwa ni kweli wana-A
   
 17. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Do not disturb your enemies when they are making mistakes, tuwaache. Wakistuka ni wapinzani.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160


  Hizo tetesi zimetandaga sana kitambo ila hakika wote wale wapenda nyama mbichi hakika itawazika wote!
   
 19. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  But ~lead ~ buriani!
  Ameizika ccm arusha mjini na kuitakia buriani ya milele na yeye amesogea nairobi kuomboleza..
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  We acha masikhara, wangapi wanakufa kwa sababu ya penzi pofu sembuse siasa?
   
Loading...