Kiama kwa watendaji wabovu sirikalini

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Hatimae spirit ya CDM commanders imeanza kuwaingia wanamagamba, kwa hakika mei mosi twaweza shuhudia serikali ikitoa kauli juu ya hawa watu wake kama ni kuwafukuza, kuwafunga ama kuwanyonga particularly i will be happy.
 
Wakati mwingine unaweza kufikiri yanayoendelea bungeni ni hadithi za bibi na babu lakini ukweli ni kuwa nchi imejaa ufisadi na ukweli ulio wazi ni kuwa raisi wetu ni mpole ! Nadhani tuwe kama china wanyongwe tu.
 
Yap! wachache wameshasoma alama za nyakati. haki ya nani, wasipo waadhibu baadhi ya mawaziri na watendaji serekali. wanachi tuukatae hii serekali kwa kuwaonyesha ktk uchaguzi. Hii ni dharau atuwezi kuivumilia
 
Hatimae spirit ya CDM commanders imeanza kuwaingia wanamagamba, kwa hakika mei mosi twaweza shuhudia serikali ikitoa kauli juu ya hawa watu wake kama ni kuwafukuza, kuwafunga ama kuwanyonga particularly i will be happy.

Serikali gani ?? Serikali ya Tanzania hii hii tunayoifahamu, au nchi nyingine ??
 
Back
Top Bottom