Nafasi murua kwa JK kuiokoa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi murua kwa JK kuiokoa CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Synthesizer, Apr 19, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,313
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Wabunge wameanza kupendekeza Pinda aondolewe kama PM. JK akifikiri vizuri, hii ni nafasi murua kwake kuiokoa CCM. Si tu kwa kumuondoa Pinda, bali pia kuteua PM ambaye atampa support ya kufanya atakalo ili kurudisha hadhi ya CCM, ikiwa ni pamoja na kumtumia PM huyo kuwaondoa mawaziri mizigo wale ambao JK hawezi kuwaondoa kwa sababu za ushikaji na nyinginezo. JK atasingizia kumpa mamlaka yote PM rafiki zake wakimlaumu! JK anahitaji tu kumwambia PM anampa kazi moja; kuunda baraza la kazi ambalo litarudisha hadhi ya CCM na imani ya wananchi kwa serikali, na kwamba JK atampa support yote na kumpa uhuru mkubwa wa kuamua anavyotaka.

  Na pia JK asifikiri Asha Rose Migiro ndio anaweza kufanya hilo - Migiro hana ujasiri wa namna hii. Labda Tibaijuka, au hata Mwandosya angekuwa mzima wa afya. Hii inaweza ikawa last chance ya CCM kurudisha imani ya wananchi kwao na hata wakamjenga huyo PM kama next presidential candidate!

  CCM, this is your last chance - la sivyo tunawaandalia obituary!
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapa ilipofikia CCM haina mwokozi. Usisumbuke bure kutoa ushauri.
   
 3. m

  mharakati JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ampe Zitto kabwe u PM
   
 4. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Upo usemi unaosema kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote wanaweza kutumbukia shimoni. Sijui mmmh sidhani kama jamaa anaweza kumtoa mtu shimoni.
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hayo ni mawazo yako sidhani kama unaweza simama kama mkulu.
   
 6. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Labda amteue katibu mkuu wa CUF, si wameungana hawa?. au ang'atuke ili kulinda heshima yake.
   
 7. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli hali ya nchi kiuchumi, rushwa, elimu duni, ukosefu wa ajira, gharama za juu za maisha, huduma mbovu za afya, n.k. vitasahaulika miongoni mwa wananchi sababu tu ya kuwa na waziri mkuu bora zaidi ya Pinda?
  Kitakachoiokoa CCM ni kurekebisha hali nzima ya nchi na siyo uteuzi wa waziri mkuu fulani, tufikirie kwa mapana jamani.
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Anashauri maiti ipelekwe ICU!
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Hivi unafikiri unaweza kuiokoa nchi bila kuwa na viongozi wenye uwezo na wawajibikaji?? Kuna mahala wakati wa safari za PInda abroad alisema "Kazi ya kuongoza nchi si mchezo, ni ngumu." Kinachonishangaza kama kweli ni ngumu kwake na inavyoelekea inamshinda, sasa kwa nini aendelee kuishikilia?? Kwanini asiwachie ambao hawaioni kuwa ni ngumu??
   
 10. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kila mkuu wa kitengo yupo bize kukwapua kwa kuwa wengi wanafahamu 2015 hapaeleweki,2015 tutarajie kesi nyingi sana za ufisadi na watu kufilisiwa,kuna baadhi wana panga kuhama nchi before 2015,hali inatisha
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mnaenda mbali mimi nataka aanze na mkulo maana hana uchungu na ela zetu sijui bse ana kwao!
   
 12. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swadakta!
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa, kilichobaki sasa ni kuvuli na mwangwi tu
   
 14. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mie naamini tatizo siyo PM tatizo ni Raisi amempa TOR waziri mkuu za kutenda kazi.Kumbukeni uswahiba wa JK na Dr Rashid alivyoleta msuguano na Lowassa kwenye issue ya umeme wa TANESCO kule Tanga Cement.Pia kwenye katiba mpya tuna scrap nafasi ya Waziri mkuu baki Rais tu maana wote ni watendaji.Raisi mtendaji,Makamu wa Raisi Mtendaji,WaZIRI Mkuu mtendaji ni ujinga huu.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ningelikuwa mimi ndiyo KIKWETE, ningelimpa u-PM Dr. Slaa na unajikalia tu kusafiri na ndege yako.
   
 16. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maiti sehemu yake ni motuary na siyo wodini

  kwanza kikwete hana mawazo hayo anawaza akitoka

  brazil atakwenda wapi mtajua wenyewe na linchi lenu

  yeye anapaa tuu labda utokee msiba wa msanii mwingine

  kidogo mtamuona anauza sura
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Jk kuiokoa serikali kwa hali iliyofikia ni ndoto, ikizingatiwa kwenye ufisadi mkubwa yeye ndiye mtuhumiwa mkuu.

  Ila anayo nafasi ya kuiokoa serikali kama ana ubavu wa kushusha bei za bidhaa muhimu kuendana na mahitaji ya walalahoi.
   
 18. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  cha kufanya ni Msajiri mkuu wa vyama kuwasiliana na JK wakifute chama na serikali yote itemwe na wananchi wapewe nafasi ya kusema nani wanamtaka awe kiongozi wao basi. kusema unakiokoa chama ambacho hata wewe muokoaji ni uozo mtupu haitasaidia zaidi ya kuzidi kukifukia kaburini
   
Loading...