Jana nilifuatilia kikao cha bunge kikijadili taarifa ya C.A.G,ni jambo la kushangaza kuona waziri wa fedha hakuwepo na waziri Lukuvi kudai Mkulo kuwa yupo U.S.A. "kuandaa bajeti". Kama alivyosema...
KAULI mbili zinazotofautiana zilizotolewa na mawaziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara juu ya tuhuma zinazomkabili bosi wa Shirika la Viwango (TBS), Charles Ekerege, zimewakera wabunge ambao...
Bendera za CDM kwa sasa ni dalili ya Ujasiri na Kuonesha kuwa uko tayari kwa lolote kuitetea nchi yako bila kificho kwa wana Kagera walio wengi. Zamani ili gari lako lisisimamishwe au ufanye...
Nilifurahi sana Makongoro Nyerere alipogusia bungeni ushindi walioiletea tz baada ya uvamizi wa IDD AMIN DADAA,najiuliza marais waliomrithi Nyerere wamepeleka watoto wao vitani kama vile kulinda...
Tumesikia bungeni uchangiaji Wa ripoti ya Mh Mrema na Mh Zitto. Kwa haya inaonekana Waziri Wa Fedha na Biashara na pia wakuu Wa idara za serikali takribani zote ni mafisadi Wa kutupwa, je falsafa...
Jamani wadau website ya bunge la jamhuri ni nzuri sana.kila kitu unachohitaji kujua kuhusu wabunge na maswali yao,michango yao iko pale(ni kwa kila mbunge)
KAMATI ya Baraza la Wawakilishi ya Hesabu za Umma (PAC), imegundua matumizi mabaya ya Serikali yasiyozingatia Sheria ya Fedha pamoja na Manunuzi ya Mwaka 2005 ikiwemo miradi mikubwa ya ujenzi...
wakuu heshima kwenu... Naomba mwenye update ya yaliyojili leo huko geita ktk mkutano wa cdm atuhabarishe.. Bila shaka wengi wetu tunahitaji kufahamu raisi aliyemioyoni mwa zaidi ya watanzania...
Nimecheka sana leo nilipokuwa naangalia uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. Nikakumbuka kipindi kile college/university wakati wa presentation ilikuwa ni vituko vitupu!! Wabunge 'to...
Ndugu zangu,
Mshindwa mzuri ni yule anayeamini kuwa katika ushindani kuna kushinda na kushindwa. Yu tayari kuinua mkono na kumpongeza mpinzani wake aliyemshinda. Ni yule anayejitathmini ili...
Hatma ya Tundu Lisu kuendelea au kutoendelea kuwa Mbunge wa Singida Mashariki ipo mikononi mwa Jaji Moses Mzuna. Baada ya kusikiliza pande zote za mtoa mashtaka na ule upande wa ushahidi, Jaji...
Wana Jamvi-Si mbaya tukiangalia zaidi ya kukosa ubunge, kuanguka kwa ccm.Hivi kuna liyejiuliza ni madhara gani yatapatika km aftershock kitaifa na kwa wadau wa CCM investment na risk iliyopo kwa...
Nioneeni huruma maana naishi kwa shida kubwa. Nadhani nahitaji ushauri nasaha. Simwamini kiongozi yeyote CCM kuanzia ngazi ya kitongoji hadi serikali kuu yaani hadi rais.Nasema hivyo kwakuwa naona...
It is so interresting to watch the parliament session, as it was presided this evening by Job.
If you keep it to that you will surpass the Madame speaker.
Now you behave so wisely. Keep it up...
Watanzania zile Rushwa na Pombe pia Kanga, kofia, tshirt za kijani na njano
je mabango ya wagombea wa chama cha kijani?
Gharama zake ndo kupanda kwa huo wizi kwenye halmashauri
Wafanyakazi wa...
Adam alihojiwa wiki kadhaa kuhusu tuhuma za rushwa ilikuwa kwenye mojawapo ya vikao vya kujiuza pale jijini Dar; alikanusha na kusema hayo ni maneno ya kisiasa tu na kuwa hakuna wakati ambapo kuna...
Niko wilaya ya Meatu jimbo la KISESA ambalo liko chini ya mbunge wa CCM bwana Luhaga Mpina.Nimezunguka vijiji kazaa,wananchi wanasema jimbo letu ndilo la kwanza kuchagua upinzani ndani ya wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.