Kwanini chama kinachoongoza upinzani bungeni hakipewi nafasi ya kwenye jumuiya za kimataifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini chama kinachoongoza upinzani bungeni hakipewi nafasi ya kwenye jumuiya za kimataifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mumburya, Apr 19, 2012.

 1. m

  mumburya JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 268
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  CHAGUA JIBU SAHIHI.

  KWANINI CHAMA KINACHOONGOZA UPINZANI BUNGENI HAKIPEWI NAFASI YA UWAKILISHI KWENYE JUMUIYA ZA KIMATAIFA, KUANZIA EALA, SADC NA PAP?

  A. Itakuwa kama kukipa sifa chama hicho wakati sifa hizo tayari wanazo
  B. Kuna wabunge wengi wa CCM hivyo kumchaguza mpinzani ni sawa na mwislamu kula nguruwe
  C. Wabunge wa CCM ambao ndiyo wengi wanaona upinzani ni uhaini
  D. CCM wanaumwa ugonjwa wa wogasiosis
  E. CCM na CUF ni vyama vya upinzani dhidi ya CHADEMA ambacho ni chama tawala ndani ya mioyo ya watanzania
  F. (A) hadi E ni sahihi.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Democracy majority win ! asiye taka ahamie somalia ....!
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unataka mtu achague lipi kati ya hayo? Hii ndiyo tunayoiita questionnaire ambayo ina leading questions!!!! Hutapata matokeo sahii katika hili.
   
Loading...