Safari za JK zamuudhi Filikunjombe

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Akielezea utumiaji mbaya wa madaraka serikalini na mashirika ya umma filikunjombe amesema nchi nyingine raisi hawezi kusafiri bila ya bunge kuidhinisha safari. Amesema kipigo magamba walichokipata arumeru ni fundisho tosha jinsi wananchi walivyokata tamaa na ccm. Source-kipindi cha jambo leo tbc1
 
Nimemsikiliza katika jambo ya TBC one leo, ni wazi kabisa mbunge huyu alistahili kuwa kambi yenye kuthubutu kusema kwa uwazi.

Anachambua madudu ya serikali bila kujali maslahi ya chama chake. Huu ndio uzalendo, bahati mbaya kule aliko hawachelewi kumziba mdomo kwa kumpa kacheo ka danganya toto kama Mwakyembe.

Timu huwa zinasaka wachezaji. CDM mtafuteni mpiganaji huyu kwani atafaa mno.

Nmuombea 2015 awe kambini rasmi kwani aliko ni kama Ronaldo kuwa mbagala marketi fc.
 
Amewaponda sana CCM, Tatizo na yeye tukifunga makanisa kwao hapati kura kwani kura zake anaomba baada ya misa kuisha kwa kutoa misaada makanisani kama EL.
 
Nimemsikiliza katika jambo ya TBC one leo,ni wazi kabisa mbunge huyu alistahili kuwa kambi yenye kuthubutu kusema kwa uwazi.
Anachambua madudu ya serikali bila kujali maslahi ya chama chake.Huu ndio uzalendo,bahati mbaya kule aliko hawachelewi kumziba mdomo kwa kumpa kacheo ka danganya toto kama mwakyembe.
Timu huwa zinasaka wachezaji.CDM mtafuteni mpiganaji huyu kwani atafaa mno.
Nmuombea 2015 awe kambini rasmi kwani aliko ni kama Ronaldo kuwa mbagala marketi fc.

nakuunga mkono kwa aslimia zote kabisa...ni jembe linalotifua jangwani
 
Tatizo lao ndo hilo.
Huku wanapinga, kwenye eneo wanalotakiwa kutetea nchi kwa kuweka sheria za kulinda haya,
'Wanaunga mkono hoja'

Hii si akili.
 
Wewe Deo wewe! Uko katikati ya watu wachafu, bahati mbaya nawe walijua hilo. Unasubiri nini? Fanya maamuzi magumu sasa, au waogopa kupoteza mafao yako? Haya wee! Gharagabhaho.
 
Amewaponda sana CCM, Tatizo na yeye tukifunga makanisa kwao hapati kura kwani kura zake anaomba baada ya misa kuisha kwa kutoa misaada makanisani kama EL.

Kama ameweza kutumia hiyo strategy kuwashawishi wakampa kura anaonyesha anakubalika kwani si woote wanaoweza kuomba kura kwenye misa au msikitini wakapata.
 
Amewaponda sana CCM, Tatizo na yeye tukifunga makanisa kwao hapati kura kwani kura zake anaomba baada ya misa kuisha kwa kutoa misaada makanisani kama EL.
Tofauti yake na EL ni kuwa yeye anatoa misaada kwa kumaanisha misaada,EL anatoa misaada kufunika uchafu wake hapo ndio penye tofauti.Jimbo lake pia lina wakristo wenge ambao ndio majority voters.
 
Heh Filkunjombe yupi, yule aliyekoswa ngumi na kinawenje mwaka jana kwa matamshi yake ya kipuuzi? Naona M4C itakuwa imeanza kwa mafanikio sana endapo watu kama hawa wananzinduka na kuanza kuona kabla hawajaonyeshwa! Thats great
 
Akielezea utumiaji mbaya wa madaraka serikalini na mashirika ya umma filikunjombe amesema nchi nyingine raisi hawezi kusafiri bila ya bunge kuidhinisha safari. Amesema kipigo magamba walichokipata arumeru ni fundisho tosha jinsi wananchi walivyokata tamaa na ccm. Source-kipindi cha jambo leo tbc1

MKUU,
JE WW unaona ni sahihi bunge kuruhusu safari za RAISI?sidhani kama n sahihi utakua ni mzunguko mkubwa na kunyima uhuru pillar nyingine ya nchi.
pia huu ndio wakati wako toa mawazo yako na yakubalike kwenye katiba mpya
 
Heh Filkunjombe yupi, yule aliyekoswa ngumi na kinawenje mwaka jana kwa matamshi yake ya kipuuzi? Naona M4C itakuwa imeanza kwa mafanikio sana endapo watu kama hawa wananzinduka na kuanza kuona kabla hawajaonyeshwa! Thats great

huyo huyo.yaani leo alikuwa anafunguka ile mbaya..
 
Hapo sielewi yaani anafunguka mara moja ndo anakuwa mpiganaji?

Hapo anajikosha kama ni mpiganaji kweli mwambie aendelee kufunguka na mengine sio
kusema mara moja then anafunga mdomo
 
MKUU,
JE WW unaona ni sahihi bunge kuruhusu safari za RAISI?sidhani kama n sahihi utakua ni mzunguko mkubwa na kunyima uhuru pillar nyingine ya nchi.
pia huu ndio wakati wako toa mawazo yako na yakubalike kwenye katiba mpya

Uhuru gani unaosema, juzi tumeambiwa hali ya kiuchumi ni mbaya kiasi kwamba baadhi ya wizara kunyimwa pesa, bado anatumia mabilioni kusafiri kuna ulazima gani yeye kufanya hivyo?
 
Nimemsikiliza katika jambo ya TBC one leo, ni wazi kabisa mbunge huyu alistahili kuwa kambi yenye kuthubutu kusema kwa uwazi.

Anachambua madudu ya serikali bila kujali maslahi ya chama chake. Huu ndio uzalendo, bahati mbaya kule aliko hawachelewi kumziba mdomo kwa kumpa kacheo ka danganya toto kama Mwakyembe.

Timu huwa zinasaka wachezaji. CDM mtafuteni mpiganaji huyu kwani atafaa mno.

Nmuombea 2015 awe kambini rasmi kwani aliko ni kama Ronaldo kuwa mbagala marketi fc.

Kweli anatakiwa ahamie jeshi la kusaka mabadiliko. kama tu haongei hivyo kwa kutafuta kupozwa kwa vyeo kama mwakymango.
 
Back
Top Bottom