Youths Patriotic Change kuikomboa Tanzania kabla ya katiba mpya kukamilika, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Youths Patriotic Change kuikomboa Tanzania kabla ya katiba mpya kukamilika,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr Emmy, Apr 19, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Katika hali inayoashiria sasa nchi yetu inapaswa kuongozwa na Tume maalumu au kikundi cha vijana wenye mrengo mkali kama Youth Patriotic change umejidhirisha Bungeni baada ya pande zote za wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani kukiri nchi pamoja na bunge wameelemewa na kushindwa kabisa kuitwala nchi ya Tanzania hadi kufikia kusema hakuna serikali. kitendo cha kutokuwepo serikali kama ilivyosemwa na Wabunge kuna maanisha kuwa hakuna pia Mahakama huru, Bunge, vyombo huru vya habari na vyama vya siasa.

  Kama vijana sasa tunatoa mwito wa kiongozi wa Youth Patriotic change kutangaza hatua ya neema ya ukombozi wa Taifa hili mapema iwezekanavyo
  kabla ya mchakato wa katiba mpya kukamilika
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Youth Patriotic Change ndio nini, nani na kiongozi wao ni yupi?
   
 3. S

  Saitoti Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio leo mawazi watajibu kama unaserikali au la! kwani wabunge waliuliza kama kuna serikali kweli wakati kila idara kuna mamilioni ya fedha hamitumiwa visivyo.
   
Loading...