PENDEKEZO: Travel Restriction ACT na Viongozi wetu

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wakuu wanaJF

Watanzania wamekuwa wakiumia sana kutokana na viongozi wetu
kuwa na matumizi yasiyo ya lazima kwa kutumia kodi za wananchi
kusafiri dunia kote bila wananchi kupata faida ya safari zao


Sasa ni muda mwafaka wa bunge letu kutunga Travel Restriction act
kuweza kuwabana hawa viongozi wa ngazi zote za serikali kusafiri bila
sababu ya msingi.

Mytake: Mimi nitajitolea kuandika hii Travel Restriction act kwa msaada wa
kusadia taifa langu

Nchi yetu tunaipenda lakini wachache wanajinufaisha

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibarika Serikali yetu
Mungu kibarika chama cha mapinduzi
 
kwanini tusiifanye ikawa PETITION mkuu? Ukiandika wewe mwenyewe tu sidhani kama watakubali mkuu.
 
Back
Top Bottom