Uongozi wa CDM bhana full matatizo mmepigwa chaguzi ndogo tisa kati ya kumi na moja mlizoshiriki.... hili linapaswa kuwa fundisho mjipange vizuri kwa mpambano jamani, kukomboa nchi si lelemama jamani.

Utafiti wako ni feki chadema iko makini na kama huamini endelea kukaa na hizo takwimu za kwenye klabu za komoni.
Badala ya kuwashauri ccm ambayo tanzania nzima ilikuwa yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.