"Mawaziri waliotuhumiwa wapo, wapime na waamue jinsi gani watamwokoa Waziri Mkuu, Mimi nitakuwa wa mwisho kupiga kura kumwondoa Mhe. waziri Mkuu, ni mapema mno kumhukumu Mhe. Waziri Mkuu wakati...
Habari za Ijumaa waungwana,
Nauliza, hivi ni mimi tu ndo sikupata bahati ya kusikiliza kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu bungeni Alhamisi jana, ama ni kweli kwamba jembe langu Joshua Nassari...
Wana jf nimesoma leo kwenye gazeti la Tanzania daima ambapo aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema amewashauri madiwani,wabunge,mawaziri wa CCM wahamie CHADEMA kabla safina haijafungwa.
Lema...
Jana akifunga Mjadala wa hoja ya Kamati yake Bungeni, Muheshimiwa Ryatonga Mrema huku akizungumza point kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kwa namna ya kipekee kabisa akionyesha namna Serikali hii...
Toka kuchaguliwa kwao uongozi wa BAVICHA na BAWACHA wamekuwa kimya sana kiasi cha kutukatisha tamaa sisi wasahabiki wa CDM. Inashangaza sana kuona kila jambo hata la kuhakikisha CDM inajijenga...
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take:
Inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee...
Wana JF nina dhani kama kweli kuna kuweka saini kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu basi hawa wata saini
Deo Filikunjombe
Alphaxad Kangi Lugola
Ali mohaned Kessi
Weston Zambi
Esther Bulaya...
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa...
Wabunge wameanza kikao cha Jioni kujadili taarifa za Kamati tatu za Bunge, Kamati ya Hesabu za Serekali, Mashirika ya Umma na Serekali za Mitaa. Jumla ya Wabunge 51 wameomba kuchangia...
Inawezekana kuna laana katika nchi hii. Tuchunguze ili tujue tu kuwa, laana hii tumelaaniwa wananchi au nchi. Hata hawa wabunge wa CCM wanaopiga makelele kupinga ubadhirifu wa mali ya uma ni...
Naomba kuuliza, je waziri mkuu hajaitisha kikao na wabunge wa CCM ili kuwashawishi wasipige kura ya kutokuwa na imani dhidi yake? Tumezoea kipindi cha bajeti huwa anawashawishi, hasa pale bajeti...
Napenda kutoa ushauri kwa wana CCM kuwa huu ni wakati ambao tutajilaumu na kuwalaumu wengi baada ya kupoteza jimbo la Arumeru Mashariki. Huku tukituma timu nzito.
Tunaweza kulaumiana kwa...
kabla ya kuwa mawazir walikuwa wabunge nataman kujua walilipwa mishahara na bunge au na wizara zao au wanakula kote kote mishahara mpka posho. nchi hii haiminiki maana posho za jairo wazir alikuwa...
Maoni ya katuni
Kuzidi kuongezeka kwa biashara ya dawa za kulevya na ongezeko kubwa la vijana wanaozitumia ni mambo ambayo kadri siku zinavyokwenda inakuwa ni janga la taifa kiasi cha kuhitajika...
Ndugu wana JF wakati JK anafanya kampeni za urais mwaka 2005 nilivutiwa na mwonekano wake pamoja na kauli mbiu yake ya maisha bora kwa kila mtanzania. Nilikuwa na imani kubwa na ile kauli mbiu...
Juzi Bunge liliwachagua wabunge tisa watakaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali, wagombea hao...
Ningekuwa ndo mimi huyu prof ningefanya maamuzi magumu ya kuhamia CDM. Nafikiri hana sauti wala maamuzi kwenye chama chake sababu hata ile aibu alioionyesha yule mama aliyegombea nafikiri ni...
Anasema kitendo cha uongozi wote wa juu, mawaziri na viongozi serikali kukimbia bunge na kuacha watu watano kwa ajiri ya kulinda nafasi ya chama ni aibu sana. Anasema hiki kitendo ni sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.