Maskini Prof Ibrahim Lipumba

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
Ningekuwa ndo mimi huyu prof ningefanya maamuzi magumu ya kuhamia CDM. Nafikiri hana sauti wala maamuzi kwenye chama chake sababu hata ile aibu alioionyesha yule mama aliyegombea nafikiri ni uzembe wa chama kutotumia wasomi katika kufanya maamuzi maana kama walijua anaweakness ya Lugha wangejitolea kumwandikia good speach ya kujitoa ambayo angekremisha kwa usiku mzima akatoka na kitu kizuri kuliko kuboronga na kubaki kuwa reference kwa vizazi vilivyopo na vijavyo
 
hoja yako iko wap?Pr kuhamia cdm au yule mama kutia aibu?
komwu je?
 
Hivi jamani ADC yule kifungua mimba wa CUF vipi? Yu mzima kweli huyu? Mbona aliingia kwa mbwembwe na kutoweka ghafla kama umande?
 
Yaani dada umeongea point sana maana hana ambapo ataiboost akili yake kafu pale yuko kama ndondocha tu
 
nyani haoni kundule, we josephine ukabila uliojaa humo umewaletea aibu la komu hamjamaliza mmemuweka kabila chama chagga development, mshukuruni zitto anawarudisha kwa ramani,tena mkitaka mfanye vizuri muwekeni zitto nafasi ya urais na mwenyekiti wa chama, kwani sasa anachanja mbuga. Padri hatakiwi wala wala sultani wa chagga dev hilo kundule tunalisubili
 
Back
Top Bottom