Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.

Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
 
Akiondoka tunaitaji uchaguzi kama atuitaji basi aendelee kuishi tu tunaitaji majimb sasa
 
mkuu tumia zile sindano za kuchomea mbwa wenye vichaa umchome huyo....
 
Hao maskari nawapa hongera sana wafanyehivyo hata wanapo onamali za uma zina chukuliwa wagawe kichapo kama huyo mkuu wa (w)
 
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefariki Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya.

Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo

Kwani na hili ni jukumu lake? Nilikuwa sijui
 
Yes,zawadi stahiki juu ya kuingilia kazi zisizo muhusu!!! Wanaviburi sana kwa kuwa wameteuliwa ma mkuu wa kaya,so hawatishiki kabisa,kichapo ni zawadi tosha!!!
 
Askari nao siku hizi wanakaidi maagizo ya wakubwa wao, mimi nina ushahidi wa ocd mmoja alipewa agizo na Rpc wake na hakulitimiza kwa kuongopea kuwa gari lake lilikuwa bovu kumbe ni uongo mtupu!!
 
Sijui nisimame upande gani maana wote ni wale wale. Nakatiza kwa kasi.
 
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.

Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo

Ta Kamugisha nimepiga simu naambiwa aliyepigwa ni Katibu Tawala hebu fuatilia vizuri maana mie niko jirani hapa.
 
Ta Kamugisha nimepiga simu naambiwa aliyepigwa ni Katibu Tawala hebu fuatilia vizuri maana mie niko jirani hapa.

Ta Kamugish si amesema yuko Biharamulo na source ni yeye mwenyewe! Wewe umepiga simu haupo kwenye eneo la tukio. Ta Kamugisha na Ta Muganyizi mbona source zinaleta Mkanganyiko. Asije akawa amepigwa na Maharamia kwenye msitu wa Burigi.
 
Nawapa hongera hao askari wa jwtz kwani mkuu wa wilaya hiyo siyo kazi yake ni kutojua mipaka ya kazi big up
 
Tunamtakia apone kutokana na kipigo cha vijana wake maana yeye ni raisi wa eneo hilo na pia nashangaa kwa raisi wa eneo asijue kijana gani kafariki na je panahitajika msaada gani kwa kijana aliyefariki. Hatutaki vijana kuchukua sheria mkononi lakini panabidi kufanya hivyo hasa kwa wapiganaji pale wanapokuta kiongozi wao anajitenga nao na
PIA
Ukikuta mkuu ananyanyaswa na wadogo inatakiwa ufanyike uchunguzi juu ya utawala wake na huenda watu wamechoka na huenda taarifa zimepelekwa kwa wahusika na hakuna hatua zilizochukuliwa maana yake maisha yake yanakuwa yake yamekuwa hatarini na tatizo viongozi wetu wamelewa na hawasikii/hawaoni na wataendelea kuumia
 
Isije ikawa ni walimu wanalipza kisasi!tangu lini mkuu wa wiliya akkamata toya?safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Naomba yeyote anifafanulie: hivi kazi za wakuu wa wilaya ni nini kama shughuli zote za maendeleo ziko chini ya DED na wenyeviti wa wilaya au manispaa. Mtu akikosa kazi anajaribu kushika huku na huko angalao aonekane anafanya kitu hata kama hakina tija. Kwa nini alaumiwe. Matokeo yake ni kukutwa na dhoruba isiyotarajiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom