Jamani tujadili mada tajwa hapo juu kwa upana na marefu. Ni mada inayojadiliwa sasa hivi ITV...malumbano ya hoja...
Toa sababu za kupanda kwa gharama za maisha na sema nini kifanyike. Pls no...
mambo yanazua mambo. Kama kweli wabunge wa CCM ambao ni wengi zaidi bungeni wanaona uchungu jinsi fedha za uma zinavyotafunwa, na jinsi ambavyo serikali haijamuwajibisha hata mtendaji mmoja, basi...
Kweny bunge hili sijawasikia machachar ya wabunge hawa. au ni vile bunge hili limekuwa la kutunga sheria zaid au hawazijui. umaaruf umewatosha au wamezibwa midomo
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani...
Ifikapo tarehe 3 Mei, 2012 waingereza kwa mara nyingine tena watapiga kura kuwachagua Mameya wa miji mbalimbali ya nchi hii. Tofauti na ilivyo nchini kwetu Tanzania, ambapo viongozi hawa...
Taarifa ya Mh. Zitto kutangaza kukusanya saini za wabunge 70 ili kupata uhalali wa kuitisha kura ya maoni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu iwapo mawaziri wanaolalamikiwa hawatajitathmini na...
nawataka wanaharakati wote kuhamasisha jamii kuishinikizam serikal ili baraza la mawaziri kujiuzulu. najua wabunge wa ccm hawatatoa ushirikiano kupata sahihi 70 za kutokuwa na iman na PM vile...
Ndugu zangu,
Ng'ombe aliyekonda haoni aibu, bali aibu ni ya mwenye ng'ombe.
Wenye asili ya ufugaji wanalielewa hili vizuri sana. Kijijini inapoonekana ng'ombe wamekondeana watu huuliza...
Ufisadi unajidhihirisha katika sura mbalimbali kama vile rushwa kubwa na ndogo, ukandamizaji wa wanyonge, unyonyaji, kikundi kimoja kunyanyasa kingine, ubabe wa kiuchumi au kisiasa, biashara...
Wakati wa kuchangia hoja kwenye mjadala juu ya ripoti za Kamati za Hesabu za Serikali leo tarehe 19.04.2012, kama ilivyo jina lake, Mhe. Nundu, Waziri wa Uchukuzi alionesha nundu na kujikanganya...
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawasawa, Zitto Kabwe alisimamishwa bunge enzi za mzee wa speed and standards, Zitto kama sacrifice alizidisha awareness za watu juu ya uwajibikaji katika serikali na...
Wah wa JF, ninatafakari haya yanayoendelea Arusha ya viongozi wa CCM kujitoa na kuhamia chadema kama yana mkono wa EL. Kama ni ndiyo, maana yake ni nini? Kwa nini wakimbilie chadema? Je yeye mh EL...
Mbunge John Mnyika leo ameomba muongozo wa naibu spika ili atoe hoja ya kutokuwa na imani na majibu ya waziri mkuu, naibu Spika akamzuia kwa kumwambia ametafsiri kanuni ndivyo sivyo na kumtaka...
Ki ukwel na shindwa kuelewa kabisa taifa linateketea baba hayupo tunamuomba arudi haraka pengine kesho kama zitto atafanikiwa kupata saini 70 kuna weza kusiwe na gvt sasa kama rais yupo brazil...
Wasomi wengi tumekuwa tunashiriki kwenye siaasa kwa kuongea tu na wala si kwa vitendo hasa wanafunzi wa vyuo vikuu.kulalamika na kukosoa ndio wa kwanza.Je? ni mara ngapi umeshiriki kufikisha hoja...
wadau nchi kama tanzania ikiweza kutoa huduma ya gharama ya bilioni moja kwa matibabu ya bure basi inauwezo wa kutoa matibabu bure kwa wagonjwa hospitali za rufaa zote nchini kwa siku nane,hii ni...
Chama cha mapinduzi eti wanajifanya wao ndio mamiliki wa hii nchi ya Tz.eti ccm ina wenyewe na wenyewe ndo ccm,mbona mnapita kuhonga kwa wenye nchi ili mpate madaraka ya kula nchi na kuuza mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.